Wameshaamua kutangaza nia mapemma hivi, biimkubwa nae ana uchu wa madaraka, kuna haja gani ya haya? Wakati ukifika itajulikana
Mzee baba yale maisha ukikaa hata miezi 6 tu katika cheo hiko lazma udate mzee! Ushawahi kuwaza siku moja kila mtu anakupigia saluti unaamua kula unachotaka, unavalishwa suit mpya daily hurudiagi nguo, unapiga madini tu non stop, access ya billions of money in a few clicks tu!

Huulizwi utambulisho popote uendapo iwe ndani au nje ya nchi yani unaishi kama malaika flani unaetetemekewa na wote wanaokuzunguka😅! Na ukifika unapewa first class treatments

Watu wanakuja na offer zao tu za pesa ambazo uliwahi kuziona kwenye movie tu. Wakitaka access ya kufanya biashara zao! Boss tunakutilia $50m kwa account turuhusu tu invest sector flani!

Ushafikiria hilo? Mpaka ilifikia mahali kuna mtu akasema “Mie hata sielewi kwanini watanzania ni masikini”
 
Polepole anatamani kunywa sumu ya panya huko aliko
Wewe pimbi na lijinga nani kakuambia Mh. Polepole anamchukia Mama Samia????????? Yaani mfano mimi nimchukie mwenyekiti wangu????? Acheni ujinga wenu, Polepole ni mtoa fikra huru ambazo hata Mh. Rais wetu anapenda kumsikiliza. Ila nyie pimbi mnadhani ni chuki. Yaani wajinga ka wewe bora mgekufa tu.
 
Jokate ana kiherehere sana huyu mjane wa Taifa! Sijaona sababu yakudandia hii mada bila hata kuipa siku tatu,aichakate ndiyo aje kusema! Sijaona wanawake wenye heshima zao kama Kina Anna Makinda,Mama Nyerere waki support hii mambo! Ila haka katoto kenye urafi wa madaraka,kamejitokeza tayari! Kazi ipo
Jamani jamani mbona anao Uhuru wa kutoa maoni. Yaani bongo kweli imejaa vilaza, yaani mtu asitoe maoni? Hata mi namuunga mkono sema amekosea kujitamkia mapema, alipaswa kusubiri kidogo. Ila rais Mwanamke 2025 lazima awe na Mama anafaaa. Mianaume HAPANA!
 
Wewe pimbi na lijinga nani kakuambia Mh. Polepole anamchukia Mama Samia????????? Yaani mfano mimi nimchukie mwenyekiti wangu????? Acheni ujinga wenu, Polepole ni mtoa fikra huru ambazo hata Mh. Rais wetu anapenda kumsikiliza. Ila nyie pimbi mnadhani ni chuki. Yaani wajinga ka wewe bora mgekufa tu.
mpumbavu mwenzio fikra huru kazianza awamu ya sita?
 
Huyu Maza,anaanza kuzingua! Wahafidhina watamtoa kwa nguvu pale Magogoni! Hii vita asidhani ni nyepesi! Magu alikua analala na files kwenye kitanda chake!

Vita ya Urais ndani ya CCM ni ngumu sana tena sana! Pamba FC wamekaa kimya,lakini najua wataibuka tu,wale walishaonja Keki na Maziwa ya Taifa!!

Nchi yetu imejengwa kwa UTIIFU wa hali ya juu. Hakuna anaeweza kumtoa Rais aliye madarakani isipokuwa KATIBA. Katiba inamruhusu kuendelea kugombea; Na lazima atashinda kama alivyoshinda Ngosha na wengine huko nyuma.
No way ......
 
Samia aliwaambia CCM wenzake waache hizi vurugu mpaka 2025, leo ajabu yeye mwenyewe ndie amezianzisha, hana kumbukumbu kabisa, kama Rais nae anawaza uchaguzi basi tuna bahati mbaya sana.
Kasema mpaka vyama vingine hakuna siasa mpaka uchaguzi 2025 wananchi wanataka maji na hospital, na kawaambia wenzake kama uliyosema hapo juu leo 2021 bado miaka 4 kaanza kutangaza nia? Kweli madaraka matamu sana na hizi kauli niko hapa kwa matakwa ya katiba tu ni kauli dhaifu hii inathibitisha yale maneno alikuwa hatakiwi kawekwa tu sababu ya katiba na yeye kaingia katika uleule mtego. Hivi Mama hana washauri kaanza vijembe na kugawa nchi kwa gender. Mimi mwanzo nilikuwa na hope sana na yeye ila siku hizi na mashaka sana na yeye. JPM tulimzoea akihutubia alikuwa hana break unaogopa hapa ataropoka jambo lilete mtafaruku sasa Mama kaanza hili na kauli zake tata. Madaraka kweli matamu hajamaliza hata mwaka. Ni kama mtu uko hotel umeletewe sahani imejaaa chakula ndio unaanza kula unaagiza sahani nyingine ikiisha hii tu lete kabisa unaona kama hutashiba watakuja watu kula. Selfish
 
Wanapenda mamlaka ambayo kiasili hawakupewa. Wanawake wasitingishe meza yenye vinywaji; kumtawala mwanaume sio asili yao .
 
Kulikuwa na Rais wa wanyonge Mungu akamchukuwa kama alivyokuwa anajinadi, leo tu Rais wa akina mama kama anavyojinadi sasa. Badala ya mtu kuja na sera za kitaifa kujumlisha shida zote tumekuwa tunagawa watu kwa matabaka. Ila wanawake hawajahi kuwa wamoja ndio wanaongoza kuoneana wivu Mama badala kujipigia debe kwa wanaume watu ambao ukiwapa wanachotaka sera nzuri wakapiga pesa wala hutumii nguvu watakuchagua tu ukiwabania pesa wanakupiga chini na wanawaka wanasikiliza waume zao mke wangu hali mbaya tufunge mkanda Mama kabana ujuwe hawakuchagui wanafuata waume zao. Mama unatupa karata zako siko shika wanaume wanawake watakuja tu kirahisi.
 
Labda Kiswahili ni kigumu au elimu ndogo ila Samia anavyosema kuwa kwa sasa yuko pale kwa sababu ya kudra za Mwenyezi Mungu na matakwa ya kikatiba, kwani akichaguliwa hatakaa pale kwa sababu ya matakwa ya kikatiba na kudra za Mwenyezi Mungu?
anashangaza utadhani yupo pale kwa matakwa ya Mtu

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom