DC Jerry Muro na mbio za mwenge Arumeru

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, amewabana wafanyabiashara na watumishi wa umma wilayani huko kuchangia mbio za mwenge zitakazofanyika katika wilaya hiyo juni mwaka huu.

Unaletewa barua ofisini kwako yenye muhuri na saini ya mkuu wa wilaya ili uchangie, ambapo ni kama ombi lakini kwa namna nyingine ni lazima.

Mama Samia ukiwa kama Rais wetu, wakati umefika wa kutafakari na kupiga marufuku mchezo huu, maana najua hata wilaya nyingine watakuwa wanashurutishwa hivihivi. Je hii mpaka lini? Mama tunaomba utoe nenoView attachment 1796599
Haya ni Yale Yale ya DC sabaya kule Hai, kilimanjaro. Serikali ikomesha biashara hii. Kama serikali haina uwezo wa kukimbiza mwenge, inakimbiza mwenge kwa gharama za wananchi basi ifike mahali isimamishe mbio za mwenge.
 
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, amewabana wafanyabiashara na watumishi wa umma wilayani huko kuchangia mbio za mwenge zitakazofanyika katika wilaya hiyo juni mwaka huu.

Unaletewa barua ofisini kwako yenye muhuri na saini ya mkuu wa wilaya ili uchangie, ambapo ni kama ombi lakini kwa namna nyingine ni lazima.

Mama Samia ukiwa kama Rais wetu, wakati umefika wa kutafakari na kupiga marufuku mchezo huu, maana najua hata wilaya nyingine watakuwa wanashurutishwa hivihivi. Je hii mpaka lini? Mama tunaomba utoe nenoView attachment 1796599
Hai kilimanjaro, tabia hii imeanza nao wanatumia watendaji wa vijiji na kata zote kupitia duka kwa duka,nyumba kwa nyumba kukusanya mchango ya mbio za mwenge. Michango wanalazimisha na sio kuomba michango, wakiulizwa bajeti ya mwenge ni Tsh ngapi hawajui, wakiulizwa michango wanampelekea Nani hawajui, mwenge unapita kata mbili tu Kati ya kata 17 , ila wanalazimisha michango kutoka kata zote 17. Serikali isimamishe michango hii mapema na haraka wezekanavyo. Tofauti ya DC sabaya na DC Muro wa hapa Arumeru ni umri.
 
Sishauri Mwenge wa Uhuru ambayo ni moja ya Tunu yetu usiwepo au uondolewe kabisa bali nashauri huu Utaratibu wa Kulazimisha Watu, Taasisi na Kampuni Kuchangia kwa lazima upigwe Marufuku na Serikali iwe inatenga Bajeti Maalum kwa Mbio zake nchi nzima.
 
Bajeti siku site ipogo hii yakuchangishwa Ni utaratibu mpya na nimeanza kuusikia hvi karibuni
 
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, amewabana wafanyabiashara na watumishi wa umma wilayani huko kuchangia mbio za mwenge zitakazofanyika katika wilaya hiyo juni mwaka huu.

Unaletewa barua ofisini kwako yenye muhuri na saini ya mkuu wa wilaya ili uchangie, ambapo ni kama ombi lakini kwa namna nyingine ni lazima.

Mama Samia ukiwa kama Rais wetu, wakati umefika wa kutafakari na kupiga marufuku mchezo huu, maana najua hata wilaya nyingine watakuwa wanashurutishwa hivihivi. Je hii mpaka lini? Mama tunaomba utoe nenoView attachment 1796599
Sasa tatizo liko wapi? Mbona harusi yako ulipita unatuchangisha tena umeweka na kiwango na ukaishiA kutupa kipaJa cha kuku na castle light moja.
 
Hai kilimanjaro, tabia hii imeanza nao wanatumia watendaji wa vijiji na kata zote kupitia duka kwa duka,nyumba kwa nyumba kukusanya mchango ya mbio za mwenge. Michango wanalazimisha na sio kuomba michango, wakiulizwa bajeti ya mwenge ni Tsh ngapi hawajui, wakiulizwa michango wanampelekea Nani hawajui, mwenge unapita kata mbili tu Kati ya kata 17 , ila wanalazimisha michango kutoka kata zote 17. Serikali isimamishe michango hii mapema na haraka wezekanavyo. Tofauti ya DC sabaya na DC Muro wa hapa Arumeru ni umri.

Kweli kabisa, tupaze sauti mpaka ifike panapohusika!
 
Sishauri Mwenge wa Uhuru ambayo ni moja ya Tunu yetu usiwepo au uondolewe kabisa bali nashauri huu Utaratibu wa Kulazimisha Watu, Taasisi na Kampuni Kuchangia kwa lazima upigwe Marufuku na Serikali iwe inatenga Bajeti Maalum kwa Mbio zake nchi nzima.

Ujumbe murua
 
Kwani ile kamati ya corona inasemaje? Au wazungu wenyewe wameruhusu aina neno?
 
Kazi ya huo mwenge nafikiri tumeuenzi vya kutosha,na ni muda muafaka urejee kuwekwa makumbusho ili tupambane kupunguza umaskini wa nchi yetu.... kazi iendelee.
Sishauri Mwenge wa Uhuru ambayo ni moja ya Tunu yetu usiwepo au uondolewe kabisa bali nashauri huu Utaratibu wa Kulazimisha Watu, Taasisi na Kampuni Kuchangia kwa lazima upigwe Marufuku na Serikali iwe inatenga Bajeti Maalum kwa Mbio zake nchi nzima.
 
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, amewabana wafanyabiashara na watumishi wa umma wilayani huko kuchangia mbio za mwenge zitakazofanyika katika wilaya hiyo juni mwaka huu.

Unaletewa barua ofisini kwako yenye muhuri na saini ya mkuu wa wilaya ili uchangie, ambapo ni kama ombi lakini kwa namna nyingine ni lazima.

Mama Samia ukiwa kama Rais wetu, wakati umefika wa kutafakari na kupiga marufuku mchezo huu, maana najua hata wilaya nyingine watakuwa wanashurutishwa hivihivi. Je hii mpaka lini? Mama tunaomba utoe nenoView attachment 1796599
Mbona barua ipo poa kabisa?
 
Back
Top Bottom