Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,160
this is crazy
Hivi mvao hijabu wa kiislamu kuvaa unaovaliwa na waislamu ni upi kati ya hao wasichana na DC wa Igunga?
duuh!!!!!! kazi kwelikweli.
umezungumza mengi ya msingi lkn naomba tuwekane sawa hapo green bolded nadhani unapotoa ingawa yawezekana una ukweli kwa mjibu wa human trdaditions ni si kwa MJIBU WA BIBLIA.
Dini ya kiKRISTO, imegubikwa na madhehebu ambayo kwa mjibu wa biblia, hayajakubalika mahali popote pale. Madhehebu hayo, ndiyo yanayoingiza na mafundisho mengine ambayo kimsingi si MAFUNDISHO YA YESU KRISTO bali ya makristo.
Mtu anaweza kuamka na kuanzisha taratibu zake, lakini kwenye BIBLIA hazipo kabisa. Moja ya mambo hayo, ni hilo nililobold kwa kijani kwenye post yako.
NASISITIZA HALIPO, ni mafundisho ya ambao KRISTO anawatambua kama manabiii wa uongo, wanaomtumia KRISTO kutimiza haja zao. KRISTO ametuonya tujihadhari nao na tuwaombee rehema
Habari tulizo zipata kutoka kwa familia ya mzee joseph kimario(mume wa bi kimario) ambaye ni dc wa igunga mkoani tabora zimeeleza kwamba mkuu wa wilaya amebatizwa ktk kanisa katoriki mbezi beach. Na mume wake mr joseph kimario ni mwenyekiti wa uongozi wa parokia mbezi beach. Hivyo tunawaomba bakwata wasitumie vibaya vyombo vya habari kueneza udini tanzania. 4 more information vist PAROKIA YA BIKIRA MARIA MBEZI BEACH.
Si kila mwenye koti jeupe ni daktari, wengine wauza nyama buchani.
duuh!!!!!! kazi kwelikweli.
umezungumza mengi ya msingi lkn naomba tuwekane sawa hapo green bolded nadhani unapotoa ingawa yawezekana una ukweli kwa mjibu wa human trdaditions ni si kwa MJIBU WA BIBLIA.
Dini ya kiKRISTO, imegubikwa na madhehebu ambayo kwa mjibu wa biblia, hayajakubalika mahali popote pale. Madhehebu hayo, ndiyo yanayoingiza na mafundisho mengine ambayo kimsingi si MAFUNDISHO YA YESU KRISTO bali ya makristo.
Mtu anaweza kuamka na kuanzisha taratibu zake, lakini kwenye BIBLIA hazipo kabisa. Moja ya mambo hayo, ni hilo nililobold kwa kijani kwenye post yako.
NASISITIZA HALIPO, ni mafundisho ya ambao KRISTO anawatambua kama manabiii wa uongo, wanaomtumia KRISTO kutimiza haja zao. KRISTO ametuonya tujihadhari nao na tuwaombee rehema
netwek haijakamata... ntajaribu tena badaeHabari tulizo zipata kutoka kwa familia ya mzee joseph kimario(mume wa bi kimario) ambaye ni dc wa igunga mkoani tabora zimeeleza kwamba mkuu wa wilaya amebatizwa ktk kanisa katoriki mbezi beach. Na mume wake mr joseph kimario ni mwenyekiti wa uongozi wa parokia mbezi beach. Hivyo tunawaomba bakwata wasitumie vibaya vyombo vya habari kueneza udini tanzania. 4 more information vist PAROKIA YA BIKIRA MARIA MBEZI BEACH.
kiswahili!Du makubwa haya waislamu uchwala hawa