Elections 2010 DC Igunga ni mkristo mkatoliki; Kwanini hajasema kitu?

Umejuaje mimi Muislam?

Nimesema, ukimvua Mwanamke hijab umedhalilisha alama ya Uislam na umemnyanyasa mwanamke, hata kama itakuja kugundulika kwamba aliyevaa vazi hilo si Muislam.

Kama ambavyo, kwa mfano, ukimkuta mtu amebeba Biblia, ukampokonya ukaikanyaga, umedhalilisha nguzo na alama ya Ukristo na Wakristo, hata kama itaja gundulika baadae kwamba aliyekuwa amebeba biblia ile si Mkristo.

Una upeo wewe wa kujibu hiyo hoja rahisi bila kukimbilia kusema mimi ni Muislam?

kwenye red bolded

Ukristo uko tofauti. Ukifanya hivyo, umejidhalilisha wewe na si Kristo wala mkristo.

Mkristo atakaye geuka na kukupiga au kuonesha gadhabu juu yako, huyo ni wa jina tu. Wakristo wamefundishwa kusamehe na zaidi kumwombea akukoseaye REHEMA.

Kama ni kudhalilishwa, kutukanwa, kuvuliwa nguo, kutemewa mate, kuchomwa mikuki na kupigiliwa misumari yote aliyabeba Kristo msalabani, mwisho wa siku AKAWAOMBEA REHEMA..."BABA WASAMEHE KWA KUWA HAWAJUI WALITENDALO..."

Mifano ipo mingi. Mwanza makanisa mawili ya Lumala na Pasiansi yote ya Tanzania Assemblies of God (TAG), yamechomwa moto. zaidi ya kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalam NO FATHER ACTION.
HAKUNA MATAMKO, WALA HAKUNA KUTANGAZA UHASAMA NA WAISLAMU, bali kuwaombea rehema.
".....mtu yeyote akitaka kunifuata, ajikane mwenyewe, anifuate...."
 
Kwa wale wenyeji wa Tanga ukumbi wa disco wa lakasachika mtakuwa mnajua mabinti wanavyo vulia hijabu tena nyingine za kininja ndani ya ukumbi. Bakwata watoe tamko wamiliki wa ukumbi wanadhalilisha moja ya alama za dini ya uisilamu.
 
Nawafahamu watu ambao walikuwa waislam wamebatizwa lakini wameendelea na majina yao ya kiislam. shida ni kuwa utambulisho wake wa kila cheti uko kwenye hilo jina la kiislam. kwa hiyo wanaona ni usumbufu tu kuanza jina jipya let say una miaka 45 au zaidi. Kwani jina ndio imani?

jina siyo Imani, unaweza kuitwa vyovyote vile. It is only symbolic interactionism process. For simple identification uko tofauti na NANGA. Jina ni jina tu, il mradi lisiwe na maana mbaya kwa jamii husika, japo kwa jamii nyingine laweza kuwa ni tusi lakini hawahusiki na jina lako kwenye jamii yako
 
Mchungaji asiye na akili!
Vp, sadaka ya leo unaenda kuimegea baa ipi?

si kila ajiitae mchungaji ni mchangaji kwa maana ya kuchunga kundi la Kristo, WENGINE NI WACHUNGAJI WA MBUZI NA NGO'OMBE Rejao
 
Nilisema hapo siku nyuma kuhusiana na kadhia hii kuwa aliyeiroga Nchi hii, bac ndo huyohuyo aliyeturoga waislamu kwa kuwa niliwakumbusha masheik hususan sheik Ponda Issa Ponda ya kwamba mi sijapata kumuona mkuu wa mkoa au wilaya wa tanganika anayevaa hijab hivyo ndugu zanguni katika imaan tusijiingize kwenye mgogoro huu wa kipuuzi kwa kuwa si kweli kwamba huyo dc alivaa hijab! kama yupo nionyeshwe, hawakuelewa, haya leo hapa yametimia. Lakini Babuyao nikutoe shaka kwamba ile point ya bint/mwanamke wa kiislamu akiolewa na asiye muislamu automatically uislamu wake unakoma siku hiyohiyo. Regardless, ni ndoa ya kanisani,bomani au kimila. Hivyo, ikiwa ni proved kuwa mumewe ni mkristo, bac na yeye ci muislamu.


umesema vizuri. tukiwa wawazi kwenye mambo yanayotuhusu, hakuna 7bu ya kugombana humu ndani.
 
kwenye red bolded

Ukristo uko tofauti. Ukifanya hivyo, umejidhalilisha wewe na si Kristo wala mkristo.

Mkristo atakaye geuka na kukupiga au kuonesha gadhabu juu yako, huyo ni wa jina tu. Wakristo wamefundishwa kusamehe na zaidi kumwombea akukoseaye REHEMA.

Kama ni kudhalilishwa, kutukanwa, kuvuliwa nguo, kutemewa mate, kuchomwa mikuki na kupigiliwa misumari yote aliyabeba Kristo msalabani, mwisho wa siku AKAWAOMBEA REHEMA..."BABA WASAMEHE KWA KUWA HAWAJUI WALITENDALO..."

Mifano ipo mingi. Mwanza makanisa mawili ya Lumala na Pasiansi yote ya TAG, yamechomwa moto. zaidi ya kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalam NO FATHER ACTION.
HAKUNA MATAMKO, WALA HAKUNA KUTANGAZA UHASAMA NA WAISLAMU, bali kuwaombea rehema.
".....mtu yeyote akitaka kunifuata, ajikane mwenyewe, anifuate...."

well said mkuu...

Ni wapumbavu wachache sana wanaojaribu kutafuta pa kutokea na laana ya chuki waliyonayo mioyoni mwao tena kwa asili zao

Hivi yale makanisa yanayochomwa zanzibar ingekua ni misikiti si ingekua Armageddon?

Watu wamekosa upendo sasa wanarukirukia kila hoja ili mradi wagombane na watu, ni njaa na laana tu

BAKWAT ni chombo kikubwa sana kuhangaikia mtandio wa mkatoliki, na kuridhihirisha kwamba bakwata hawako makini, hata matamko yangetolewa tu na viongozi wao wa wilaya ya Igunga, hakukuwa na haja ya kufika national level....

INASIKITISHA SANA NATIONAL BODY INAKUA KAMA KITCHEN CABINET
 
kwani masista wa kikatoliki hawavai hijabu? Tena wengine ndiyo wale cloistered sisters wamewazidi hata maninja wa kiislamu. Sasa jee ukimvua hadharani kilemba chake sister wa kikatoliki itakuwa sawa?

Mimi kwa maoni yangu yule mama awe muislamu au mkristo lakini vile alivyofanyiwa siyo sawa, kuburuzwa kama jambazi fulani hivi. Na hata kama ni mkristo lakini ameamua kuvaa kiaina ile kwa nini avuliwe vilemba vyake?

Na hiyo anayozungumzia 'fatma' ni ya kiarabu kwa kiswahili ndiyo tunaita fatuma.

ni muislam?
 
Mkuu, si kweli usemayo. Hijjab haithibitishwi kwa kutamkwa na Bakwata bali Qur'an Surat Al Ahzaab ndiyo inabainisha ni lipi hijjab lipi la. Uislamu hautetei uovu hata kama huo uovu ungelifanywa na manabii. Watetezi wa huyu mama hawakutakiwa kuegemea katika uislamu bali ulitakiwa uegemee kama mwanamke yeyote ambaye ana haqi zake katika mavazi egardless dini yake. Lakini kwa kuegemea katika uislamu hata mmi nili-differ from the very first day, kwani sikuamini kuwa huyo mama alilovuliwa ni hijjab.

".......Ijue kweli, nayo kweli itakuweka huru..........."
 
well said mkuu...

Ni wapumbavu wachache sana wanaojaribu kutafuta pa kutokea na laana ya chuki waliyonayo mioyoni mwao tena kwa asili zao

Hivi yale makanisa yanayochomwa zanzibar ingekua ni misikiti si ingekua Armageddon?

Watu wamekosa upendo sasa wanarukirukia kila hoja ili mradi wagombane na watu, ni njaa na laana tu

BAKWAT ni chombo kikubwa sana kuhangaikia mtandio wa mkatoliki, na kuridhihirisha kwamba bakwata hawako makini, hata matamko yangetolewa tu na viongozi wao wa wilaya ya Igunga, hakukuwa na haja ya kufika national level....

INASIKITISHA SANA NATIONAL BODY INAKUA KAMA KITCHEN CABINET

tusiache kukemea uovu wa BAKWATA watu wa dini zote.
 
Hata mimi naamini wewe ni Mwislam kwa kuwa hoja yako ni matokeo ya kukariri na si kutafakari,ukimnyang'anya biblia,hapa issue itakuwa unyang'anyi na si udhalilishaji,bible ukiichoma moto wewe mimi naitajua u kichaa tu wala si swala la kutufanya wakristo tuandamane au tuhamaki.neenda mkanunue zote mzichome moto,tutaprint zingine tu,vita yetu si ya mwili na nyama vita yetu ni ya KIROHO zaidi.

BAKWATA Wamechemsha inand out,mosi DC hakuvaa hijab,Bakwata waje na tafsiri ya huijab kwa muujibu wa dini yao.
pili,Hijab inapovaliwa kwenye utendaji wa maovu bado inabaki na hadhi ileile ?

hoja ya leo nzuri sana, nabarikiwa japokuwa sijaenda church na sina mpango kwani nafanya kaz za watu ili mradi TAIFA liendelee kusonga mbele.
watu wanajibu hoja, kashifa MWIKO
 
......hehehe! Si kila mwisilamu ni bakwata.....

Nzuri kabisa....huo ndo ukweli.

wala si kila ajiitaye mkristo ni WAKRISTO, wengine utambulisho wao tu na JESUS mwenyewe alitahadharisha....."wengi watakuja kwa jina langu...."
 
hii wala haina tatizo.chadema hakuna pa kutokea kuhusiana na uhasama baina yenu na waislamu.fursa ya kuomba radhi kwa kumsikiliza yule mroho wa madaraka-safari mumeshindwa kuitumia.
Bakwata tunaamini kama kweli fatma si muislamu mwenzetu na sisi tulikuwa hatujui hilo,basi na wale waliomvua hijabu mama fatuma hawakujuwa kwamba ni mkatoliki mwenzao,walidhani ni muislamu.hivyo tatizo liko pale pale kwamba nia ya chadema ilikuwa kudharau uislamu na kubeza alama zake.
Kuanzia sasa hatumzungumzii fatuma bali tunazugumzia hijabu.
Kwa upande mwengine hiki kisa iwapo ni kweli kinaweza kikatoa ushahidi mzito juu ya kitu kinachoitwa mfumo kristo.

kama uliposimama hupajui ni wapi huwezi kutafuta njia ya unakoelekea. Lazima akili hii ni ya kuazima.
 
Umejuaje mimi Muislam?

Nimesema, ukimvua Mwanamke hijab umedhalilisha alama ya Uislam na umemnyanyasa mwanamke, hata kama itakuja kugundulika kwamba aliyevaa vazi hilo si Muislam.

Kama ambavyo, kwa mfano, ukimkuta mtu amebeba Biblia, ukampokonya ukaikanyaga, umedhalilisha nguzo na alama ya Ukristo na Wakristo, hata kama itaja gundulika baadae kwamba aliyekuwa amebeba biblia ile si Mkristo.

Una upeo wewe wa kujibu hiyo hoja rahisi bila kukimbilia kusema mimi ni Muislam?

Super dupa crap!!!
Ukweli unabaki kuwa toka mwanzo kuvuliwa kwa hijabu/mtandio kulihusishwa na kwamba DC ni mwislamu na kwamba amekoseshwa sitiri ya kike kwa utaratibu wa kiislamu. Ni baada ya kujua kuwa kumbe DC si mwislamu swala ndio limekuwa hijabu/mtandio. Comments zako ninaonesha au double-standards au unafiki. Tukumbushane mambo kadhaa hapa: a) Bakwata haikuwa kutoa tamko juu ya kukamatwa kwa Magdalena Sakaya, kupigwa na kuumizwa kwa Josephine Mshumbusi na wengine wengi!! Hata hivo wanawake na watoto huko Pakistani, Somalia na Afghanistan wanauawa na kuteswa na fellow muslim brothers - Bakwata iliwahi kusema chochote?? Bakwata ingekuwa inazungumzia hijabu, isingejiingiza kwenye kushauri CDM isipigiwe kura. Hapa ndipo wenye upeo wa kufikiri wamekazia!!! Bakwata ingetoa tamko la namna mbadala ambayo mhalifu wa kike ashughulikiwe.


Kusema hijabu ni ya uislamu au sketi ni alama ya ukristo ni kukosa upeo wa ufahamu. Fikiri mbali kuliko mavazi na vitabu au alama za dini. All faiths are ideologies!!
 
DC Fatuma alikua amevaa mtandio, na sio hijab....hijab ni kama hii
x9Fk8LKg3saewAAAABJRU5ErkJggg==

Au kama hii....
mvirKPm+AAAAAElFTkSuQmCC


Sasa huyu DC Fatuma alikua amevaa ipi kati ya hizo kama si siasa uchwara za CCM!?!?

Alikuwa amevaa ya namna gani kati ya hizi sample BAKWATA wanayoizungumzia kuhalarisha wizi wa kura?
bofya link hii ya google


islamic hijab - Tafuta na Google
 
[

Ni kweli kabisa usemalo ila mwisilamu anapobatizwa anakuwa ametoka katika ile dini yake ya asili ya adam. Kwani kwa asili kila mwanadamu anapozaliwa huwa amerithi dini ya asili ya Adam na ndiyo maana bila ya ubatizo hujawa mkristo na hata kama utakata roho kabla ya ubatizo ili uzikwe kama mkristo lazima ubatizwe.

Uchaguzi wa Igunga umeidhalilisha sana safu ya uongozi wa bakwata kuwa hawawajui kondoo wao. Swali la kujiuliza ni je huyu mama huwa anasali msikiti wa Igunga?, na je kwa nini wakati wa sala ya Al-dhuhul alikuwa anafanya mkutano badala ya kusali?, Je mtu kama huyu ni worth kumtetea wana Bakwata?. Huu ni wakati sasa wa kuwaweka katika nafasi za uongozi wa kiislam vijana wenye elimu zote siyo elimu ya dini tu. Kilichowaponza masheikh ni njaa. watakuwa wamepewa 20K kila mmoja na kurukwa na akili na kuanza kumtumikia shetani bila kujijua.
Ni muda muafaka sasa waache KALA LAHU TAALA kwa ajii ya matumbo. Hii yote laana, maana hata wakiletwa tende za msaada na nyama za ngamia na kondoo wa hija watoe bure wao wanauza. Masilahi mbele mwenyezimungu baadae.

Ukitaka kujua hawa bakwa ni Laanatul Llah fika pale mtaa wa Lumumba kwenye ofisi yao ndogo au pale Kinondoni muslim uone jinsi walivyo. Kuna Dada yangu alikuwa anahitaji klatasi ya Bakwata ili aipeleke Mahakamani kwa ajili ya ku-file divorce na mumewe mkorofi fulani ikabidi akawaone wale wazee wa baraza pale, Wallah badala ya kumsaidia wakaanza kumtongoza, hii si laana hii?. Ndiyo maana mimi hata mahakama ya Kadhi naona haina faida kwa watu wasio na maadili ya mwenyezi mungu kama hawa BAKWATA. Wanainajisi dini ya mwenyezi mungu na kuchafua jina la uislam kwa kukubali kutumiwa kisiasa na CCM.

duuh!!!!!! kazi kwelikweli.
umezungumza mengi ya msingi lkn naomba tuwekane sawa hapo green bolded nadhani unapotoa ingawa yawezekana una ukweli kwa mjibu wa human trdaditions ni si kwa MJIBU WA BIBLIA.

Dini ya kiKRISTO, imegubikwa na madhehebu ambayo kwa mjibu wa biblia, hayajakubalika mahali popote pale. Madhehebu hayo, ndiyo yanayoingiza na mafundisho mengine ambayo kimsingi si MAFUNDISHO YA YESU KRISTO bali ya makristo.

Mtu anaweza kuamka na kuanzisha taratibu zake, lakini kwenye BIBLIA hazipo kabisa. Moja ya mambo hayo, ni hilo nililobold kwa kijani kwenye post yako.
NASISITIZA HALIPO, ni mafundisho ya ambao KRISTO anawatambua kama manabiii wa uongo, wanaomtumia KRISTO kutimiza haja zao. KRISTO ametuonya tujihadhari nao na tuwaombee rehema
 
Nyandaigobeko

Huna mamlaka ya kudefine hijab ni nini kuwashinda Shura ya Maimam au Bakwata.

That being said, Fatuma Kimaro awe dini yoyote ile aliyo, alifanyiwa udhalilishaji kwa kuvuliwa nguo zake ambazo kwayo mwenyewe anapata stara (hijab). Bakwata wana haki ya kumtetea kudhalilishwa kwa mwanamke anae represent alama za dini inayoisimamia hata Kama aliyefuata alama hizo si Muislam

Kutetea udhalilishaji kwa vile umefanywa na Chadema ni kukosa fikra sahihi. Kesho keshokutwa Chadema kitakuwa madarakani, kikiendelea na udhalilishaji na upindishaji wa haki za msingi, tutakosa pa kukimbilia.

Penye kufaa kukemewa tukemee hata kwa wale tunaowapenda.

na wewe, yule mama anafuga mdudu. anakula mdudu huku kavaa huo mtandio ambao tunauita hijab sasa badala ya kumshutumu kwa kuudhalilisha uislamu sisi tunasifia kuwa alikuwa anatukuza uislam. na wale machangu kule kati wanaovaa hijabu tunatoa kauri ipi? tuache kufuata mkumbo kama bakwata kapewa pesa tuwaulize maswali haya kama ni kutukuza uslam au ni kudhalilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom