Elections 2010 DC Igunga ni mkristo mkatoliki; Kwanini hajasema kitu?

Wajameni tuwe waangalifu kwenye jambo hili. Mwislamu kuolewa na mkristo hakummfanyi mwislamu kuwa automatically mkristo kwani hata huko kanisani zipo ndoa za mchanganyiko wa dini au madhehebu. Ili tuweze kuwa na uhakika kama kweli ni mkristo tulete vithibitisho kwamba alibatizwa (mahali, na mbatizaji wake) na jina lake la ubatizo. Kwa kifupi tutafute cheti chake cha ubatizo au watu wanaomjua fika kwamba ni mkristo na jina lake linafahamika. siyo hizi ngonjera za kusema kaolewa na mkatoliki kwa hiyo naye ni mkatoliki.

Nilisema hapo siku nyuma kuhusiana na kadhia hii kuwa aliyeiroga Nchi hii, bac ndo huyohuyo aliyeturoga waislamu kwa kuwa niliwakumbusha masheik hususan sheik Ponda Issa Ponda ya kwamba mi sijapata kumuona mkuu wa mkoa au wilaya wa tanganika anayevaa hijab hivyo ndugu zanguni katika imaan tusijiingize kwenye mgogoro huu wa kipuuzi kwa kuwa si kweli kwamba huyo dc alivaa hijab! kama yupo nionyeshwe, hawakuelewa, haya leo hapa yametimia. Lakini Babuyao nikutoe shaka kwamba ile point ya bint/mwanamke wa kiislamu akiolewa na asiye muislamu automatically uislamu wake unakoma siku hiyohiyo. Regardless, ni ndoa ya kanisani,bomani au kimila. Hivyo, ikiwa ni proved kuwa mumewe ni mkristo, bac na yeye ci muislamu.
 
tulitegemea. kimario 98% ni wa kristo. Amevaa ijabu kama the way to mitigate risk.na imewek!huoni mashekhe walivokurupuka km wamekosa oxygen katika pango.

Masheikh Ubwabwa hao! Kama itakuwa kweli ni aibu ya mwaka waislam itabidi wawe makini sana na Baraza la waislam Tanzania (BAKWATA)
 
Umejuaje mimi Muislam?

Nimesema, ukimvua Mwanamke hijab umedhalilisha alama ya Uislam na umemnyanyasa mwanamke, hata kama itakuja kugundulika kwamba aliyevaa vazi hilo si Muislam.

Kama ambavyo, kwa mfano, ukimkuta mtu amebeba Biblia, ukampokonya ukaikanyaga, umedhalilisha nguzo na alama ya Ukristo na Wakristo, hata kama itaja gundulika baadae kwamba aliyekuwa amebeba biblia ile si Mkristo.

Una upeo wewe wa kujibu hiyo hoja rahisi bila kukimbilia kusema mimi ni Muislam?

Ndugu yangu nitatoutiana na wewe kwenye RED, UKRISTO hauna alama yoyote zaidi ya moyo na roho yako inavyoamini, Biblia sio alama ya UKRISTO. alama ya UKRISTO ni matendo yampendezayo Mungu.
 
Unajua kuna watu wanavaa hijab kama fashion,au mazoea!
So akili kumkichwa!kama ikigundulika kweli basi CCm watatafuta mtu avae msuli alafu avuliwe na the so called CDM fans ili kuifunika hii ya DC na kuficha aibu
 
Wenye mamlaka ya kusema Fatuma alikuwa amevaa hijab ya Kiislam au vinginevyo, kisheria, kwa Tanzania, ni BAKWATA.

BAKWATA wamesema Fatuma alikuwa amevaa, na akavuliwa, hijabu. Lakini wamekosolewa kwamba mvaa hijabu alikuwa Mkatoliki. Ikawa mada yetu hapa, kwamba mvaa hijab kumbe alikuwa Mkatoliki.

Nikasema, ukimvua Mwanamke hijab, Mkatoliki au M-Sunni, umedhalilisha alama ya Uislam, Uislam wote, na Waislam, hali kadhalika umenyanyasa faragha ya Mwanamke. Hata kama aliyekuwa amevaa hijab ya Kiislam ni Mkatoliki.

BAKWATA wamesimama kutetea tamko la sheria na Katiba ya Tanzania, inayomtaka kila raia kuheshimu dini za Wananchi wenzake, zikiwemo alama na nguzo za imani za dini hizo, japo Tanzania haina dini ya Taifa, au dini ya serikali, ambayo kila Mtanzania lazima aifuate.
Mkuu, si kweli usemayo. Hijjab haithibitishwi kwa kutamkwa na Bakwata bali Qur'an Surat Al Ahzaab ndiyo inabainisha ni lipi hijjab lipi la. Uislamu hautetei uovu hata kama huo uovu ungelifanywa na manabii. Watetezi wa huyu mama hawakutakiwa kuegemea katika uislamu bali ulitakiwa uegemee kama mwanamke yeyote ambaye ana haqi zake katika mavazi egardless dini yake. Lakini kwa kuegemea katika uislamu hata mmi nili-differ from the very first day, kwani sikuamini kuwa huyo mama alilovuliwa ni hijjab.
 
Umejuaje mimi Muislam?

Nimesema, ukimvua Mwanamke hijab umedhalilisha alama ya Uislam na umemnyanyasa mwanamke, hata kama itakuja kugundulika kwamba aliyevaa vazi hilo si Muislam.

Kama ambavyo, kwa mfano, ukimkuta mtu amebeba Biblia, ukampokonya ukaikanyaga, umedhalilisha nguzo na alama ya Ukristo na Wakristo, hata kama itaja gundulika baadae kwamba aliyekuwa amebeba biblia ile si Mkristo.

Una upeo wewe wa kujibu hiyo hoja rahisi bila kukimbilia kusema mimi ni Muislam?
Hata mimi naamini wewe ni Mwislam kwa kuwa hoja yako ni matokeo ya kukariri na si kutafakari,ukimnyang'anya biblia,hapa issue itakuwa unyang'anyi na si udhalilishaji,bible ukiichoma moto wewe mimi naitajua u kichaa tu wala si swala la kutufanya wakristo tuandamane au tuhamaki.neenda mkanunue zote mzichome moto,tutaprint zingine tu,vita yetu si ya mwili na nyama vita yetu ni ya KIROHO zaidi.

BAKWATA Wamechemsha inand out,mosi DC hakuvaa hijab,Bakwata waje na tafsiri ya huijab kwa muujibu wa dini yao.
pili,Hijab inapovaliwa kwenye utendaji wa maovu bado inabaki na hadhi ileile ?
 
BAKWATA wamejidhihirisha ni wavivu wa kufikiri. Wamelalama eti uislam umeaibishwa kwa kuwa Fatuma Kimario kavuliwa kitambaa wakiamini ni Muislam. Jirani wa DC anayeishi naye mbezi kavujisha ukweli kuwa huyu mama ni mkristo kaolewa na bwana Joseph Kimario kwa ndoa ya kikatoliki tena mzee wake ni mzee wa kanisa la katoliki mbezi. Pia DC huyu na mumewe wana nyumba na shamba tegeta na ktk shamba hilo wanafuga nguruwe na mama huyu ni muuzaji maarufu wa hawa nguruwe hapo tegeta na ni mlaji mzuri tu wa hii kitu .
Hili ndo shamba la Nguruwe la DC wa Igunga lipo tegeta;
View attachment 37796

Ha ha ha Nguruwe du BAKWATA
 
habari tulizo zipata kutoka kwa familia ya mzee joseph kimario(mume wa bi kimario) ambaye ni dc wa igunga mkoani tabora zimeeleza kwamba mkuu wa wilaya amebatizwa ktk kanisa katoriki mbezi beach. Na mume wake mr joseph kimario ni mwenyekiti wa uongozi wa parokia mbezi beach. Hivyo tunawaomba bakwata wasitumie vibaya vyombo vya habari kueneza udini tanzania. 4 more information vist parokia ya bikira maria mbezi beach.

wataumbuka sana mwaka huu
 
Ukimvua mwanamke hijabu umemdhalilisha na umeudhalilisha Uislam hata ikitokea sio Muislam kwa sababu umeivunjia heshima alama ya Uislam na faragha ya mwanamke. BAKWATA wametetea heshima ya Uislam mbele ya jamii, hata kama Kimario mmoja kumbe sio Muislam.

BAKWATA wangetakiwa wamuadhibu Fatma Kimario kwa kuidhalilisha dini ya kiislam maana alikuwa anapanga njama za kula dhulma huku akiwa anavaa kiislam. Huko kuharibu 'sifa nzuri' ya dini ya kiislam. Na walitakiwa wamuonye kuwa wizi ni dhambi. Ni kifungu gani kwenye Kuran kinachoruhusu kuiba tena huku ukiwa umevaa mavazi ya kidini?
 
kumbukeni niliandika kuhusu huyu mama mwanzoni,ni mkristo na nilishangazwa sana kumwona amevaa vile,lakini kuvaa vile sio kosa kwa mkristo,kwa taarifa tulizo nazo alipewa ukuu wa wilaya kwa kazi maalum
 

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom