DC Igunga amefichua udhaifu wa CHADEMA?

Halafu tukisema CHADEMA kimejaa wahuni kuanzia viongozi wake....Wapuuzi wengine humu wanaendelea kubisha. aaakhkhkhkh...puh!
Fikra za kimasaburi na mukama ndizo za wasumbua magamba kazi kuingia na bastora kwenye kampeni.
 
acha kuliabisha gazeti makini,acha kuliingiza ktk muelekeo mbaya kama wa rai na limepoteza umaarufu
 
Wewe dillunga ni kichaa,CCM imeshatuharibia future yetu na wewe unashirikiana na chama cha wakoloni weusi kuharbu maisha ya watanzania,ila muda wenu unahesabika.
 
Waandishi wa bongo bana!!! Huwezi kutofautisha na waandika mashairi...
 
Ukombozi wa nchi ndio sasa uko mbioni, wanaodhani ni rahisi kukomboa nchi wasahau. Wanaopigania CCM ndio wanaofaidi rasilimali za taifa (merceneries) kwa hiyo kauli daima zitaisifia, hata hoa akina Dilunga si ajabu wana lao na ccm. Vijana ndio ukombozi, vijana tuungane!!!!!
 
Halafu tukisema CHADEMA kimejaa wahuni kuanzia viongozi wake....Wapuuzi wengine humu wanaendelea kubisha. aaakhkhkhkh...puh!

Kishongo wape vidonge vyao baba manake mijitu mingine imekalia ushabiki na kufumbia macho uhakika wa mambo acheni, unazi
 
yayotokea Igunga yanaonyesha uhalisia wa Kondoo aliyevaa ngozi ya chui, kumbe chama cha wabaka....
 
BabieWana wala hukuhitaji kureserve chochote! Maana tayari uko biased tangu mwanzo wa thread yako!
 
Mamaetu angesubiri nusu sekunde tu kukuzaa angekuwa kichaa sasa hivi shukran kwa kusoma nyakati na kuwahi kukuzaa leo upo jamvini ukiitwa mwana jf
 
Pamoja na uhuni huu walio uonesha Igunga inashangaza bado Chadema kinajiita ni Chama Makini! Chadema wanatumia akili za makalio kufikiria!

Huyo DC alotumwa na magamba ndio aliyekuwa anafanya uhuni uliopangwa kwa kutumia akili za masaburi!
 
CHONDE TAASISI ZINAZOTUONGOZAA KIDINI NCHINI ZISIWE ZIKIKIMBILIA SANA KWENYE KIOO KUTEKELEZA MATAKWAA YA WANASISA WAASIOAMINIKA KATIKA JAMII

Ama kweli ajizi nyumba ya njaa; CCM kumbe walikua wamewaingiza porini kabisa baadhi ya ndugu zetu Waislamu kwa taarifa za uongo kama hivi???

Kwa kweli sikujua kwamba ni yule yule mama Kimario jirani yetu kule Mbezi ndiye aliyekua akizungumziwa muda wote. Jamani yule mama wala si Muislamu ni mkristo safi tena Mzee wa Kanisa pale Wazo, duuuhh hawa jamaa jamani!!!!!!

JF team tayari ilishazuru kule kwenye shamba lake la pili kule Tegeta na picha zote za shamba lake tayari ziko hewani JF kusaidia kuthibitisha ukweli kwamba kasingiziwa na CCM taarifa hizo hapo juu.

Mpaka hapa sasa sijui kwamba BAKWATA watalazimika kuitisha mkutano mwingine kukana taarifa zao za awali juu ya huyu mama. Jamani
si kila Fatuma ni Muislamu WAKATI MWINGINE NI JINA TU LA UKOO hivyo kukimbilia kutolea tamko hata mtandio tu wa urembo mtu eti ni hijabu ni makosa sana tu.

Hijabu sisi sote tunaifahamu na kuiheshimu sana; kwa kawaida hutanda kichwani hadi miguuni tena kushitiri mwili mzima sembuse kale ka ulimi wa ng'ombe aliojitupia Mama Kimario kuwahi kwenye kutengeneza misheni za kura zisizoibika Igunga???????????
 
Chadema wataomba radhi kwa kosa lipi! Kwani kesi ilishaisha mahakamani na kuwatia hatiani watu wanaodaiwa kumdhalilisha! Na kama ikija hukumu ikaonekana kwamba wale watu hawana hatia kwa hiyo Chadema wawaombe nao msamaha kwa kuwachafulia majina! Tumia akili acha kutumia masaburi kufikiri. Chadema ni chama makini hakikurupuki kama serikali ya JK, mara hatuwatambui waasi wa Libya mara aibu.

Natamani ungekuwa na maturity ya kutosha kupambanua kati ya criminal responsibility na political responsibility!
 
Godfrey Dilunga tuambie ni njaa au ushabiki ndio unaokusumbua? Hii ni mara ya pili unatoa uchambuzi hafifu uliojaa ushabiki usiona maana. Nakumbuka ulitoa mada ya kupinga hotuba ya Lema bungeni aliyotoa kama waziri kivuli wa Mambo ya Ndani. Leo bila aibu unarudia upupu mwingine. Mbona unalidharirisha gazeti ambalo linaheshimika sasa hapa nchini!

Swali hilo hilo waulizwe pia Absalom Kibanda na Ansbert Ngurumo.
 
Back
Top Bottom