DC Igunga amefichua udhaifu wa CHADEMA?

Kuna mtu alihoji siku moja sababu za chadema kuwapa Raia mwema tangazo lake la bajeti ya upinzani na kuwanyima gazeti la Mwanahalisi.Ukisoma gazeti la mwanaccm Rostam Aziz la jana-RAI kuna makala zinamlaani vikali yule DC wa Igunga kwa uhalifu wake.Hakika njaa ni mbaya na ndio inalifanya Raia mwema lianze kuwa kama Toilet paper
 
nivi kweli unaweza kutukana watu wote tuliyoipigia chadema kura, ee muumba msamehe huyu mtu, nilitaka kukutukana na nitoweke humu jamvin lakini uwepo wa mungu umezuia hili,,,,,,,, mungu akusamehe

Na mimi nimekusamehe bure. Watu na akili zao wanashabikia chama cha kipuuzi?
 
du.... sikumbuki siku ile ya arusha josehine alivyo nyanyasika na mimba yake waliandika nini ?wabunge wa chadema kuwekwa ndani kwa jambo linaloruhisiwa dhamana huo sio uthalilishaji ? mbona huandiki serikali kutumia pesa vibaya kuwapeleka wabune wabunge cdm tabora? hayo ni machache ukitaka manyanyaso dhidi ya cdm mbona ni mengi...umekomaan mkuu wa wilaya mchokozi sijui hana mume eti kavuliwa hijabu ..hata mashuleni zimepigwa marufuku kwanza sio fazi rasmi za kazi...hatu upepo mkali hijabu itapeperushwa tu

Mama mjamzito alipigwa na kutoka damu hadi kulazwa, hata TAMWA hawakukemea...
 
Yule DC amepata bonge la lesson! watu wanang'angana kupigana na wakati!....Ujumbe umefika, kama wezi wa simu za kichina wanachomwa moto  tufanyeje kwa wezi wa Haki na Democrasia?....Safari ndo kwanza imeanza, wala si suala la Chadema, ni ishu ya Wananchi tunaoimua, very soon tutaanza kuwashikisha adabu wanaouza chakula cha msaada, tutawaburuta wanaokula pesa sa miradi ya maendeleo na tutawakimbiza mchakamchana wanaozika utu wetu kwa propaganda kavu za "udini wao"....
 
Watu humu mnafurahisha sana,

Kwahiyo ili muandishi aonekane hajanunuliwa, mnataka aandike kwa kushabikia kila jambo la CHADEMA hata pale inapoonekana wameteleza.

Kweli JF imevamiwa siku hizi... Yale yale mnayoyapigia kelele kuhusu CCM naona ndio yaleyale mnayoyashabikia mkiwa CHADEMA. Hamjui kuwa kuna
siku mtakua ndiyo chama tawala halafu mtaanza tena kulalamikia yaleyale. Lazima muoneshe mnaweza kutake a punch to the chin, na kumove on, badala ya kulaumu aliyerusha konde.
 
safi sana raia mwema; chadema ni dhifu mno!!!!!!!!!! na tutagundua udhaifu wao mwingi kadri chaguzi zinavyoendelea!!!!!!!!!
 
Chadema wataomba radhi kwa kosa lipi! Kwani kesi ilishaisha mahakamani na kuwatia hatiani watu wanaodaiwa kumdhalilisha! Na kama ikija hukumu ikaonekana kwamba wale watu hawana hatia kwa hiyo Chadema wawaombe nao msamaha kwa kuwachafulia majina! Tumia akili acha kutumia masaburi kufikiri. Chadema ni chama makini hakikurupuki kama serikali ya JK, mara hatuwatambui waasi wa Libya mara aibu.

Pia walithubutu kufanya uamuzi ambao kwa upande wa magamba wanaona ni uamuzi mgumu. Kumbuka tz haijengwi na ccm bali wananchi wake na pia ccm ndo wanaibomoa
 
Pamoja na uhuni huu walio uonesha Igunga inashangaza bado Chadema kinajiita ni Chama Makini! Chadema wanatumia akili za makalio kufikiria!

je ccm wanatumia nini?angali ni wezi majamba, wahujumi uchumi wa nchi kwakusindikiza mahindi na sukari iendayo kenya?hawa ambao wanatuambia dowans iliyotufilisi watz kuwa mmiliki wake hawamtambui?hawa mwenyekiti wao anahongwa suti?hawa mwenyekiti wao anashindwa kufuatilia maendeleo ya nchi anaenda marekani kupiga picha na akina 50cent na wasanii waliovaa nusu uchi?ni bora kuzalilishwa kwa kuvuliwa nguo kuliko haya ya ccm hawajui kumwajibusha mwalifu aliyeko ndani ya chama chao
 
Halafu tukisema CHADEMA kimejaa wahuni kuanzia viongozi wake....Wapuuzi wengine humu wanaendelea kubisha. aaakhkhkhkh...puh!

ccm wamejaa majambazi mafisadi na wachafu wa kila aina waojua kulea vitambi kwa wizi wa rasilimali zetu
 
generai kama unatusikia fukuza huyo mwandishi hana maana analishushia hadhi gazeti kama nae kala mgao atafute pa kwenda kuandikia hayo madudu yake.
 
Walio wadhalilisha walimu kwa kuwachapa viboko mchana kweupe mbele ya watoto, wazee na watanzania wote, si udhalilishaji? Akili MATAPUTAPU! Wangemdhalilisha ili iwe shari kamili. Wapi VASCO DAGAMA? Kakumbuka BEMBEA!
 
Back
Top Bottom