Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,642
Amekosa ubunifu!
Sioni ajabu katika kauli zake, ni jambo la kawaida kwa MTU yoyote anayejua uzito wa wajibu wake aliokabidhiwa!
Acha kukariri aliyasema lini tupe chanzoHuyu aliwahi kusema kwamba cheo cha mkuu wa wilaya hakina maana kabisa katika Nchi hii na ni bora kingefutiliwa mbali. Leo hii ni mkuu wa wilaya. Njaa mbaya sana.
Kwani umejuaje kama maoni yake hayatimii kabla ya mwaka kuisha?Toka ile siku alipoamua kuidhihaki Afya na Uhai wa Lowassa hadharani, ndipo nilipomdharau na kumpuuza Polepole.
Ilikuwa ni mwaka jana, kipindi cha Kampeni, Polepole akiwa Live kwenye Tv(Channel Ten) kipindi cha Mada moto, bila haya wala utu akasema "......Watanzania tusijaribu kumchagua mgombea.... ambayo sote tunajua afya yake ni dhaifu, na muda sio mrefu tunaweza tukazungumza mengine!"