Wale walee!!!Kwani umejuaje kama maoni yake hayatimii kabla ya mwaka kuisha?
Wapuuzi kwa kushangilia uzushi ni kiboko!!
atakufa yy atamwacha huyo aliyemchuria kipindi cha kampeniKwani umejuaje kama maoni yake hayatimii kabla ya mwaka kuisha?
counting daysToka ile siku alipoamua kuidhihaki Afya na Uhai wa Lowassa hadharani, ndipo nilipomdharau na kumpuuza Polepole.
Ilikuwa ni mwaka jana, kipindi cha Kampeni, Polepole akiwa Live kwenye Tv(Channel Ten) kipindi cha Mada moto, bila haya wala utu akasema "......Watanzania tusijaribu kumchagua mgombea.... ambayo sote tunajua afya yake ni dhaifu, na muda sio mrefu tunaweza tukazungumza mengine!"
Huyu Mheshimiwa pamoja na mapungufu ya kibinadamu, lakini ni mtu ambaye anajua ueledi na kufuata sheria. Akiangalia mambo yanavyoendeshwa na boss wake hasa mkoani Dar, naamini atakua anaumia moyoni. Lakini afanyaje, akubali tu kulinywa.Aki Resign mapema ataonekana shujaa lakini akisubiri kupigwa chini atapwaya maradufu kiukweli Hana furaha na Amani na hiyo kazi alikua ni mtetezi mzuri wa waTz lakin mchawi MPE mtoto akulelee ndicho CCM ilichofanya.....Nd H.Polepole hujachelewa hakika umepwaya sana sio kwamba huwez Ila hiyo combination uliyopangwa nayo sidhani km wanajua sheria ata theluthi zaidi ya show off....better late than Never.....
KAMA KWELI USISHANGAE MAKONDA AKAMPIGA KIBAO HADHARANI KAMA WARIOBA SIKU ZILE ZA BMKMizinguzi huyo slowslow kwani hajui kuandika resignation letter ?
KAMA KWELI USISHANGAE MAKONDA AKAMPIGA KIBAO HADHARANI KAMA WARIOBA SIKU ZILE ZA BMKMizinguzi huyo slowslow kwani hajui kuandika resignation letter ?
Hivi jamani tukiacha siasa pembeni na ushabiki, hivi Mkuu wa Wilaya anakazi gani specifically useme ni ya ubunifu. Mimi ukiniambia DED au RAS kuwa mbunifu naweza kukuelewa.Huyo atakua anaona wivu husimama na bwanamdogo akijalibu kumpa maelezo ya miladi inavyoenda,alitamani yeye ndio apewe urais wa mkoa.wivu utamuua bule.atulie,afanye kazi kwaubunifu na kwa bidii anaweza kua kama huyo huko mbele.