Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Salum Hapi leo usiku ametembelea hospitali ya Mwananyamala kujionea utoaji wa huduma hasa wakati wa usiku.
Hapi ambaye alitinga hospitali hapo kama mgonjwa wa kawaida akivalia kofia ya mkeka alitembelea mapokezi, vyumba vya daktari na baadae kumshtukiza kiongozi wa madaktari kwa usiku huo ofisini kwake akimuelekeza kumtembeza sehemu mbalimbali za hospitali hiyo ambayo Mkuu wa wilaya alitaka kuziona.
Mh. Hapi alitembelea wodi ya watoto, wanaume, wodi ya kina mama, wodi ya dharura (emergency) na kumalizia chumba cha kuhifadhia maiti (mortuary) ambako alizungumza na wagonjwa, kuwajulia hali na kujionea changamoto zinazowakabili.
Akiwa chumba cha kuhifadhia maiti Mh. Hapi alifanya mazungumzo na mhifadhi maiti na kujua changamoto zinazoikabili ofisi yake.
Hospitali ya Mwananyamala inatajwa kuwa na changamoto nyingi za utoaji huduma hali inayosababisha malalamiko ya mara kwa mara ya wananchi.
Hapa kuna shida ya kiuongozi kabisaa. Kama alishitukiza kutembelea hapo hospitali hizo picha za kujiandaa na kupiga kwa lengo la kurushwa hapa zimetoka wapi na za kazi gani hapa? Viongozi wanatakiwa wafanye kazi na si kufanya sarakasi za maonyesho hapa. Nawe na mleta mada hakika kama angelikuwa ana japo chembe ndogo tu ya utambuzi katika fahamu zake hakika asingelithubutu kuleta upuuzi huu hapa.JE aliandaa waandishi wakampiga picha?
Hapa kuna shida ya kiuongozi kabisaa. Kama alishitukiza kutembelea hapo hospitali hizo picha za kujiandaa na kupiga kwa lengo la kurushwa hapa zimetoka wapi na za kazi gani hapa? Viongozi wanatakiwa wafanye kazi na si kufanya sarakasi za maonyesho hapa. Nawe na mleta mada hakika kama angelikuwa ana japo chembe ndogo tu ya utambuzi katika fahamu zake hakika asingelithubutu kuleta upuuzi huu hapa.
Unajua hawa Vijana sasa wanamfanya Magu wa kuja na mshamba sana. Kwa nini kumfanyia usanii hivi? Ai wanamuona hawezi gundua kuwa wanamchezea kekundu keusi?JE aliandaa waandishi wakampiga picha?
Maigizo + Mzuka= CcmHapa kuna shida ya kiuongozi kabisaa. Kama alishitukiza kutembelea hapo hospitali hizo picha za kujiandaa na kupiga kwa lengo la kurushwa hapa zimetoka wapi na za kazi gani hapa? Viongozi wanatakiwa wafanye kazi na si kufanya sarakasi za maonyesho hapa. Nawe na mleta mada hakika kama angelikuwa ana japo chembe ndogo tu ya utambuzi katika fahamu zake hakika asingelithubutu kuleta upuuzi huu hapa.
Gafla NA cameras mnavichekeshoooDC HAPI ATEMBELEA GHAFLA HOSPITALI YA MWANANYAMALA USIKU LEO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Salum Hapi leo usiku ametembelea hospitali ya Mwananyamala kujionea utoaji wa huduma hasa wakati wa usiku.
Hapi ambaye alitinga hospitali hapo kama mgonjwa wa kawaida akivalia kofia ya mkeka alitembelea mapokezi, vyumba vya daktari na baadae kumshtukiza kiongozi wa madaktari kwa usiku huo ofisini kwake akimuelekeza kumtembeza sehemu mbalimbali za hospitali hiyo ambayo Mkuu wa wilaya alitaka kuziona.
Mh. Hapi alitembelea wodi ya watoto, wanaume, wodi ya kina mama, wodi ya dharura (emergency) na kumalizia chumba cha kuhifadhia maiti (mortuary) ambako alizungumza na wagonjwa, kuwajulia hali na kujionea changamoto zinazowakabili.
Akiwa chumba cha kuhifadhia maiti Mh. Hapi alifanya mazungumzo na mhifadhi maiti na kujua changamoto zinazoikabili ofisi yake.
Hospitali ya Mwananyamala inatajwa kuwa na changamoto nyingi za utoaji huduma hali inayosababisha malalamiko ya mara kwa mara ya wananchi.
Kwa Habari zaidi tembelea
www.peterdafi.blogspot.com
Watu wa kulalamika kama nyinyi hata ukipewa nini hutoridhikaHuyu alikuwa anatokea Club akaibukia Hospital. Kuna wenzie waliwahi kuibuka machinjioni usiku wa manane kama wachawi lakini sasa hivi hata asubuhi hawaendi kokote. Hii nchi Sanaa zimezidi, kama mko serious tengenezeni Standard Operating Procedures kwa hospital zote Tanzania na sio kuibuka ibuka Tu. Kwa hiyo DC wa Tandahimba naye kesho asilale aende hospital ya wilaya usiku. CCM inaongoza nchi kwa style ya wapiga ramli
Huyu mama ni mmoja wa wafanyakazi ambao hawastahili kuwepo hapo walipo.
DC Hapi alipotoka alikwenda Nje ya Hospitali nakununua Dawa, Kisha Kudai Risiti Jambo ambalo Lilizua Mtafaruku kwa Mama Muuza Duka, Mama alitoa maneno makali na yakejeli kwa Kumwambia DC Kuwa hana Risiti kama Hataki Alete Dawa amrudishie Pesa yake.
Ndipo DC alipobadilika nakumkalipia Mama Kabla hajajua Nani anazungumza nae akastuka na kutoa Risit
Mama leo lazima atembelewe na watu wa mapato[emoji1]
DC Hapi alipotoka alikwenda Nje ya Hospitali nakununua Dawa, Kisha Kudai Risiti Jambo ambalo Lilizua Mtafaruku kwa Mama Muuza Duka, Mama alitoa maneno makali na yakejeli kwa Kumwambia DC Kuwa hana Risiti kama Hataki Alete Dawa amrudishie Pesa yake.
Ndipo DC alipobadilika nakumkalipia Mama Kabla hajajua Nani anazungumza nae akastuka na kutoa Risit
Hajalalamika katoa maoni yake ambayo mi naona yana msingi kama kwako hayana msingi pita hivi! usilete ngebengebe.Watu wa kulalamika kama nyinyi hata ukipewa nini hutoridhika