Nyie ndo wazazi mnaoharibu hiki kizazi kwa kutetea uovu, watoto walioanza kushiriki huo mchezo ni lazima waondolewe shuleni ili wasiharibu watoto wengine. Swala la wapi wataenda kusoma ni jukumu la wazazi wao walioshindwa malezi. Hilo ni kosa kubwa sana la kimaadili, kuliko usubiri wapeane mimba ni bora kudhibiti tabia zao mapema.
Hivi,kuanzia darasa la tano hao wanafunzi wa kike wakipimwa Kuna atakaekutwa na bikra?
Kwa hiyo wote watafukuzwa?
Ndo kiwango Cha kufikiri Cha viongozi wetu