DC Gondwe aagiza Wanafunzi watatu wafukuzwe Shule kwa kujihusisha na vitendo viovu

Sijawahi kuona maamuzi ya kijinga kama haya. Yaani mtoto wa primary afukuzwe shule, halafu?
Nyie ndo wazazi mnaoharibu hiki kizazi kwa kutetea uovu, watoto walioanza kushiriki huo mchezo ni lazima waondolewe shuleni ili wasiharibu watoto wengine. Swala la wapi wataenda kusoma ni jukumu la wazazi wao walioshindwa malezi. Hilo ni kosa kubwa sana la kimaadili, kuliko usubiri wapeane mimba ni bora kudhibiti tabia zao mapema.
 
Af Nna uhakika kina Diamond (WCB) na wengine wanahusika na hawa madogo....


Mwelewa kaelewa
 
Hivi,kuanzia darasa la tano hao wanafunzi wa kike wakipimwa Kuna atakaekutwa na bikra?
Kwa hiyo wote watafukuzwa?
Ndo kiwango Cha kufikiri Cha viongozi wetu
 
Back
Top Bottom