Mkuu,
Nilidhani ni mtu mzima na unaakili za kutosha kumbe huna kitu huko kichwani. Nashawishika kusema hata masaburi unayotumia are like empty vaccum! Ndio maana ukakurupuka kuzungumzia katiba usiyoijua sasa umerudi na lingine!
Mgombea wa cdm, kama alivyo wa ccm kwasasa hawatumikii serikali kwakuwa wameomba likizo zisizo za malipo! Huyo dc wa igunga yupo likizo?
Kweli shule za kata zimetuharibia sana vijana! Mnakurupuka tu usingizini na kujibu hoja za msingi. Poor U!
Hukumu ya kesi ikiwa 2016 huu ushahidi wako wa teke nyundo utakusaidia ni nini? Maana yake ninavyojua lolote lawezekana, hebu nikumbushe kesi za kupinga baadhi ya chaguzi za wabunge 2010 zimefikia wapi? Lazima nikiri ninatatizo la kuweka kumbukumbu ya mambo yanayokuwa in suspense kwa muda mrefu.
hii sio njema wajameni.Nadhani nitaanza kukufir.a wewe kabla ya kumtia boss wako Sugu. Nipigie 0756564565 ujue jinsi gani ninavyochana tigo
Sasa ni afadhali kuwatumikia kina Nape kuliko kujifanya unaipenda Chadema wakati mtu mwenyewe hata siyo mchagga.
Sasa ni afadhali kuwatumikia kina Nape kuliko kujifanya unaipenda Chadema wakati mtu mwenyewe hata siyo mchagga.
Bila shaka wanaosikiliza propaganda zake na kumshabikia wana uwezo wa kufikiri unaofanana na wake. Sheria haimruhusu kutumia rasilimali za serikali kama ofisi, magari, muda au amali yoyote ya serikali kufanikisha ushabiki wake kisiasa! Tunafahamu cheo chenyewe ni cha kubumba na hupatikana kama "Takrima" ndiyo maana wenye akili timamu wote wanadai vyeo vya kishkaji na kifisadi kama hivyo vifutwe na kama ni lazima wawepo watu wa namna hii basi wapitie kwenye sanduku la kura.Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.
Uliwahi ona wapi mzinzi akawa na akili timamu? Maana id yako inawakilisha jinsi ulivyo. Next time mods angalia na id hz maana zinadhalilisha jf. Huna muda wakusoma katiba,kwanza utaupata wapi wakati akili yote kwa mademu?Hicho ni kifungu gani cha katiba? Mgombea ubunge wa Magwanda wa Igunga ni Mratibu elimu! Au hiyo nafasi ni ya serikali magwanda?
Ndugu yangu hicho ni kifungu gani nikisome, inaelekea mimi ni mbumbu wa katiba. Naomba kifungu tafadhari.
Tumia akili kukabiliana na hoja,DC siyo political post maana hawajibiki kwa chama bali kwa serikali. Tumia kaakili kako kidogo kama hata uliishia darasa la 7. Hili ni jukwaa la great thinkers and not bogus thinkers. Ukijibu hoja uwe na uhakika nayo na siyo unatoka usingizini unajibu tu.Wewe cheo cha DC ni political post na sio administrative post. Ndo maana yeyote anakuwa mkuu wa wilaya inategemea tu uko vipi na mteuaji, hvo ujue mteuliwa atakuwa accountable kwa aliyemteua (i.e. raisi) ili kulinda nafasi yake. Otherwise mbadilishe mfumo wa upatikanaji wa DC.
Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.
Tangu sakata la kukamatwa kwa DC wa Igunga akihalifu sheria chama ca CCM kimekuwa kikifanya propaganda chafu sana,ya UDINI hapa Igunga mjini,jana wilayani Uyui Dc huyu alitoa laki moja hadharani na kulia machozi,huku akiwahamasisha waislama kuandamana kuipinga chadema et alivuliwa HIJAB.Huu ni mkakati mchafu wa ccm,na ni uwendawazimu,kimsingi chadema hatukumkamata huyu DC kwa dini yake,au rangi ya chama chake.tulimkamata kwa kuwa alihalifu sheria,na nguvu iliyotumika kumkamata inakubalika kisheria.
Dc huyu anaendela kuifanyia ccm kampeni,na usiku wa jana alikuwa n a wakinamama(wanawake)kwenye jengo la serikali anakoishi,anatumia kodi za wananchi kuifanyia ccm kampeni.
Article 36(1)....... Of "The constitution of The United Republic of Tanzania"Hakuna DC ndani ya katiba usituletee upuuzi wee Mwita25
Mbumbumbu anatumiwa huyu.
Mbumbumbu anatumiwa huyu.