Kama zamani mkuu
Nimeongea na wahusika TCU na nectaUmefanyaje mkuu. Namsaidia dogo kuomba hapa but inasema hana credits ilhali anazo tena ni form four. But six wamesema passed.
Kumbuka hizi ni hatua. Huwezi kufikia kuomba course yoyote ile bila kuclear hizi hatua za kwanza I.e form iv& vi
Hayana mkuuKwan matokeo ya mwaka huu yana grade ya B+
Kwa hiyo B† inapoint ngapi kwa mwaka huu au ni 4 kama mwaka jana tu?Hayana mkuu
Unamaanisha kwmb umehitimu mwaka jana ama vip, kiongozKwa hiyo B† inapoint ngapi kwa mwaka huu au ni 4 kama mwaka jana tu?
Mwaka huuUnamaanisha kwmb umehitimu mwaka jana ama vip, kiongoz
Yaweke hayo matokeo vzurMwaka huu