fortunate_goustone
Senior Member
- May 5, 2013
- 113
- 26
Una sifa kabisa zoote ila angalia qualification za kozi husika!Ndugu zangu wana jf mie nimehitimu kidato cha sita mwaka Jana nimesoma PCB nikapata phy d Chem b na bios b+
Nimeanza kuapply nilipofika validation wakanibia not passed kwa upande Wa A level? Msaada jamani
Wa mwaka jana huyo, ufaulu wake haswaa ni E, D na C kwa vigezo vya TCU, achek ndo aapplyHivi 2Cs ni point nne au sita? Naona thread yako umeileta kama Joke hapa JF haiwezekani upate 2Bs then ukose chuo. 2Bs ni mara mbili ya minimum requirement zinazotakiwa na TCU.
Tcu wamekuambia nini?Nimeongea nao wameniambia TCU wametoa wapi? Hayo matokea?
Hebu hesabu hizo point kwanza! Are serious kweli?Sasa nifanyaje wakati guidebook imesema lazima uwe na point NNE. Yan two c's
Ndugu zangu wana jf mie nimehitimu kidato cha sita mwaka Jana nimesoma PCB nikapata phy d Chem b na bios b+
Nimeanza kuapply nilipofika validation wakanibia not passed kwa upande Wa A level? Msaada jamani
Nani wamekubadilishia ikiwa ulimaliza mwaka jana?Wamenibadilishia kutoka matokeo halisi ya mwaka Jana yani
PHY D CHEM B BIOS B+ Kwenda PHY F CHEM D BIOS C
Nimeongea nao wameniambia TCU wametoa wapi? Hayo matokea?
alafu huu ujingaa wa kujiita Dr ndio utakuponzaa, watu tumehenyekaaa wewee kiulani tu unajiitaa Doctor?? pumbafuuuuuuuu na usipate kabsa CHUO!Ndugu zangu wana jf mie nimehitimu kidato cha sita mwaka Jana nimesoma PCB nikapata phy d Chem b na bios b+
Nimeanza kuapply nilipofika validation wakanibia not passed kwa upande Wa A level? Msaada jamani
Hamna, mbona anazo principle pass mbili? Anaeza kwenda kusoma education tena priority kwa watu wa sayans n kubwa sanaMungu wangu! naona Ndalichako kaamua, itakuwa wameamua kuzipandisha kwa level ya 2014 kurudi nyuma maana nyie mlishushiwa, hapo huna ujanja apply diploma tu...issue sio tu kwamba B iwe sawa na C bali hiyo C yenyewe iwe na marks za C ya 2014 kurudi nyuma...hehehe
Au kama huna haja na udaktari apply kozi nyingine isiyotaka ufaulu wa physics tofauti na hapo apply diploma tu.
Wamekuwekea matokeo yapi au wameacha kama zamani mkuuuuWana jf tatizo langu limetatuliwa asanteeni sana nimeshapply
Kama zamani mkuuWamekuwekea matokeo yapi au wameacha kama zamani mkuuuu
Hongera.Wana jf tatizo langu limetatuliwa asanteeni sana nimeshapply