sir doctor
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 291
- 66
- Thread starter
-
- #21
Wamenibadilishia kutoka matokeo halisi ya mwaka Jana yanihuu mfumo wa GPA unachanganya sana hapo sina hakika kama umefaulu au laa. Kuna mtu alileta uzi mwaka jana kapa BBB lakını kakosa udaktari
Wamenibadilishia kutoka matokeo halisi ya mwaka Jana yani
PHY D CHEM B BIOS B+ Kwenda PHY F CHEM D BIOS C
Sasa nifanyejeKwa matokeo hayo sifa unazo kulingana na guidelines za TCU
Sasa sijui shida ni nini.Labda system failure
Kozi yoyote Mkuu ya sayansAisee kumbe D ya mwaka jana ni sawa na F ya zamani?? kwani mkuu unataka kusomeanini?
Kuja Jf tu basi wewe una akili tosha za kujua nini ufanye, TCU kwenye website yao kuna Contacts zao, sifa unazo na hilo uhakika.Kozi yoyote Mkuu ya sayans
Hawapatikani mkuuKuja Jf tu basi wewe una akili tosha za kujua nini ufanye, TCU kwenye website yao kuna Contacts zao, sifa unazo na hilo uhakika.
Huo ufaulu wako utumie sasa sio nifanyeje, tumia hilo bongo lako.
Niende wapi? MkuuKwani ukikosa sifa kujiipia vyuo vya nje uwezi au ata vya ndani
Wamekataa kuvalidate registration YANGU wanasema not passedhizo wanakuchukua vizuri tu aplly kwa makini ucweke vyuo vyenye competition
Medical lab pharmacy nursing na hata MDduuh hapoo bas shida ni wao
kwan unaaply faculty gni??
Mkuu asante sana coz nimeshindwa kuelewa what is the problemitakua system aaijakaa sawa ikigoma kabisa wapigie tcu contacts zao zipo cas.tcu.go.tz
GS C BAM C PHY D CHEM B BIOL B+ F6 2015
Kwa mwaka Jana ndivyo ilivyokuwaUmhhh GS na BAM hata ukipass vipi si wanakupa S inakuwaje weye ina S