MSUKUMA02
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 535
- 1,404
Mkuu Kuna kipindi tulipatwa na taharuki tukaambiwa mode wa jf wanauza taarifa zetu kwa mapolisi tukamatwe nafkiri ni 2013 au 14😀😀Kuna majina yalifanana na jamaa fulani wa huko Twitter(X) ambaye mwisho wa jina Kuna 2014 nafkiri wakongwe wa humu wanaojuaDuh mumeharibu ladha kimtindo