Half American bado upo mkuu💪🏿Huyu pimbi Intelligent businessman nae simuoni au ndio shahidi wa siri kesi ya TAL
😁😁Kuna avatar yako moja, siku hizi naona umebadilisha. Ile ya mume kunyweshwa na bibi harusi bila kumtazama usoni. Ilikuwa inaonyesha wazi bibi harusi alikuwa anafunga ndoa na mtu hampendi. Ilikuwa inafikirisha sana.
FS yupo.Wote hawapo hao siku hizi
Dada G mbona huwa mnachangia mada kama vile vijana wa Zama hizi.😁😁 Hatuwezi kupotea wote, lazima wachache tubaki kurithisha mila kwa vizazi vinavyofuata
Mpwayungu mnatumia vigezo gani kum term kama mtu wa zamani?Eeh kweli sana bana, JF sio kama zamani. Wale watu wa zamani kama Mpwayungu na wengine wengi wametoweka, na hii app mpya inabadilisha experience kabisa. Ndo maana watu wanakaa kimya, hata mimi narudi mara chache tu.
Bifu lako na Diamond liliisha au bado linaunguruma chini kwa chini?Mchawi tik tok
Nipo mkuu ila ubusy niliadimika kidogo humu jukwaani. Kwema mkuu?Half American bado upo mkuu💪🏿
Inaonekana unamfahamu vizuri sana huyo anayepita kimyakimya.Watu wapo wanaendelea na maisha nje ya jf, mmoja umemtaja hapo yeye huwa anapita kimyakimya.
Awapi sikuhizi jau sana!!
Kwasababu mliifungia ikawa kuingia huku hadi VPN.Siku hizi JF kwa maono yangu kasi ya threads na uchangiaji umepoa sana ukilinganisha 2024 kurudi nyuma
(Au mabadiliko ya apps ndio yamenitoa katika mstari, ile experience siipati tena!?)
Lakini pia niulize hawa watu bado wapo Jf
Umughaka
Mpwayungu
Analyse
Extrovert
Financial services
Na wengineo.......
Ni wewe hapoInaonekana unamfahamu vizuri sana huyo anayepita kimyakimya.
Mimi sijajoin 2014, nimejoin 2023.Ni wewe hapo
Njoo tupigane nimekasirikaMimi sijajoin 2014, nimejoin 2023.
Finya ukuta kama kweli umekasirika.Njoo tupigane nimekasirika