Dawati la msaada kwa Sony Xperia

Dawati la msaada kwa Sony Xperia

Mars Rover

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
338
Reaction score
140
Kama una tatizo lolote na Sony Xperia yeyote tujuze tukusaidie
(Huduma hii haipo kwa simu za Sony Ericsson)
 
Simu yangu ni sony xperia P LT22i,ina tatizo upande wa kuwekea simcard,kuna mtu alilazimisha kuiweka akageuza, akaharibu vimiguu vya mle ndani,msaada tafadhali
 
Mkuu pale juu Umesema HTC hapa Xperia Sony. Kwa nini usianzishe uzi mmoja wa Android maana hizo Simu kama ni matatizo ya software yanafanana.

Ni ushauri tu.
 
Simu yangu ni sony xperia P LT22i,ina tatizo upande wa kuwekea simcard,kuna mtu alilazimisha kuiweka akageuza, akaharibu vimiguu vya mle ndani,msaada tafadhali
Kwa kuwa hilo ni tatizo hardware tuambie unapatikana maeneo gani..
 
Mkuu pale juu Umesema HTC hapa Xperia Sony. Kwa nini usianzishe uzi mmoja wa Android maana hizo Simu kama ni matatizo ya software yanafanana.

Ni ushauri tu.
Simu hizi zinatumia Android lakini maintenance zake zinatumia tools na tricks tofauti kwa hiyo ni vizuri zikawa kwenye thread tofauti.. Pia thread ya Android kwa ujumla tayari ilishaanzishwa, siyo vizuri kurudia thread titles
 
Mim
i Nina Sony xperia no x10, imejiblock na ikanidai e.mail na favourate movie. nimesahau utanisaidiaje?
 
Mkuu pale juu Umesema HTC hapa Xperia Sony. Kwa nini usianzishe uzi mmoja wa Android maana hizo Simu kama ni matatizo ya software yanafanana.

Ni ushauri tu.

Kuna matatizo ambayo yanasababishwa na skin zinazoekwa juu ya android kama sense touchwiz nk
 
Kuna matatizo ambayo yanasababishwa na skin zinazoekwa juu ya android kama sense touchwiz nk

Shukrani Mkuu kwa kunisahihisha, maana binafsi shule ya tech nimeipatia/naipatia humu humu. Hivyo ninavyokosolewa naongezewa ujuzi .
 
X10 itakuwa ni Sony - Ericsson na hii thread ni kwa Sony. Fuata maelekezo

Nina Sony Experia LT26i imenasa kwenye headphone mode hivyo siwezi pokea simu na bahati mbaya zaidi fundi kapoteza kisehemu cha kuchomekea headphone. Msaada please
 
Nina xperia C3 nilikuwa naitumia lakini ghafla ikazimika, nikiwasha inatoa mstari mweupe na kuzima, nini itakuwa tatizo wataalam
 
Mkuu nina Sony Experia T2 tatizo lake inagoma kutouch upande wa juu kabisa wa screen,kama inch moja hivi
 
Nina Sony Experia LT26i imenasa kwenye headphone mode hivyo siwezi pokea simu na bahati mbaya zaidi fundi kapoteza kisehemu cha kuchomekea headphone. Msaada please
Je umejaribu kufanya hard reset kwenye simu yako... Unapofanya hard reset unaifanya system yako kusahau errors ndogo ndogo na kubwa zinazohusiana na software hivyo simu kurudia hali yake ya kawaida wakati ikiwa mpya kabisa.. utafanikiwa kwenye hili endapo tatizo halihusishi hardware ambayo ni headphone jack ya simu yako
 
Simu yangu ni sony xperia P LT22i,ina tatizo upande wa kuwekea simcard,kuna mtu alilazimisha kuiweka akageuza, akaharibu vimiguu vya mle ndani,msaada tafadhali

Naomba uniambie ulipo nije unibadilishie hiyo sim card slot....sijui niandae shs ngapi mkuu?huku kwetu hamna hizo accessories
 
Nataka Ku update Xperia z1 compact kwenda kitkat maana update zimetumwa Ila inataka pc companion sasa Hapo kwangu imekuwa ngumu update.
 
Back
Top Bottom