Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,459
- 872,114
BAK mwalimu alikuwa na maono na alifanya kila kitu kwa kuyafakari mno, bahati mbaya sana waliobaki walishindwa kuendeleza maono yake kwa vitendo. Kuna wachache wamebaki lakini hawana uwezo wa kufanya lolote kwakuwa wamefunikwa na kundi kubwa la mbweha na mbwa mwitu wachumia tumboHalafu hawa wenye chuki na Mwalimu watalipinga hili. Mwalimu alijitahidi sana kusema kweli pamoja na kuwa makusanyo ya kodi hayakuwa makubwa kama yalivyo sasa. Umeme ulikuwa wa uhakika pamoja na kuwa gas ilikuwa haijagunduliwa na tulikuwa hatuna makampuni lukuki toka nje kama ilivyo sasa yanayofua umeme.
Kinachonifariji naona mwanga, naona maono, naona upepo wa mabadiliko ndani ya CHADEMA.
Last edited by a moderator: