Dawasco mnawatesa dada zetu...

Dawasco mnawatesa dada zetu...

Mnh nikikumbukia naona sitaweza tena halafu le mutuzzzz anang'ang'ania turudi bongo kwema sijui anapitaga wapi asione haya?

tuliambiwa tatizo la maji kwa dar litakuwa historia
 
Aisee nchi yetu inasikitisha sana. Miaka nenda miaka rudi matatizo yale yale tena miaka hii ya karibuni ndio hali inazidi kuwa mbaya sana. Miaka ya nyuma angalau elimu yetu na matibabu vilikuwa na ahueni lakini siku hizi ni shakabaghala. Hawa wanaojiita viongozi wanachakarika kuiba ili nani awe bilionea mkubwa kuliko mwingine wakati ufukara ukizidi kuongezeka kwa kasi ya kutisha.

Halafu kuna vijana wa sasa hawajui hayo ila kupiga kelele tu. Nikikumbuka shule tulizosoma na hizi za sasa na ni bure kweli unaweza kulia na wakati ule vyanzo vya mapato sio kama sasa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hicho Mkuu MANI ndio cha kushangaza. Sasa hivi pamoja na misamaha ya kodi kila mwaka ya shilingi 1.5 trillion bado TRA inakusanya shilingi bilioni 800 lakini shule zetu zina hali ya kusikitisha sana ukilinganisha na miaka ya nyuma ambapo ukusanyaji wa kodi ulikuwa ni mdogo sana. Mahospitali yako katika hali mbaya sana. Mapesa yote yanaishia kwenye matumizi ya kifahari, ufisadi na DHAIFU kuzurura katika nchi za watu.

Last edited by a moderator:

Kuna watu hawajui kwamba zamani shule kulikuwa na mahitaji yote mpaka dispensari zilizojitosheleza leo hii shule hata desk hamna na sijui hayo maabara tunayochangishwa kama yatakuwa na vifaa au navyo itabidi tuchangie.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Halafu hawa wenye chuki na Mwalimu watalipinga hili. Mwalimu alijitahidi sana kusema kweli pamoja na kuwa makusanyo ya kodi hayakuwa makubwa kama yalivyo sasa. Umeme ulikuwa wa uhakika pamoja na kuwa gas ilikuwa haijagunduliwa na tulikuwa hatuna makampuni lukuki toka nje kama ilivyo sasa yanayofua umeme.

Kuna watu hawajui kwamba zamani shule kulikuwa na mahitaji yote mpaka dispensari zilizojitosheleza leo hii shule hata desk hamna na sijui hayo maabara tunayochangishwa kama yatakuwa na vifaa au navyo itabidi tuchangie.
 
Halafu kuna vijana wa sasa hawajui hayo ila kupiga kelele tu. Nikikumbuka shule tulizosoma na hizi za sasa na ni bure kweli unaweza kulia na wakati ule vyanzo vya mapato sio kama sasa.

Ni kweli kabisa wakati elimu ilitolewa bure na kweli serikali ilimaanisha hivyo hakukuwa na hidden costs tofauti na leo, na elimu ilikuwa super
 
Back
Top Bottom