Mawe hayauzwi ni bure okota lililopo karibu na wewe kesho tukuone kwenye mediaKuanzia Wakurugenzi, Mameneja, Bodi hadi mafundi wote mjitafakari.
Mnazingua.
Rekebisha title au hata content , vyote havieleweki, pole kukosa maji, tuko pamojaHuu mgao wa maji kwa nini usiwe kwa usawa ? Sawa, Kimara iliongoza wananchi kudai haki Oct 29 lakini sio sawa kuwanyima huduma za kijamii
Title inaeleweka kabisa yaani usiku maji yanafungwa na pakikucha spana inakuja kukaza kabisa nati hata matone ya maji yanakosekana!!Rekebisha title au hata content , vyote havieleweki, pole kukosa maji, tuko pamoja
Sasa iko sawa ...Title inaeleweka kabisa yaani usiku maji yanafungwa na pakikucha spana inakuja kukaza kabisa nati hata matone ya maji yanakosekana!!
Asante kwa kuwaelewesha. Ni kweli yaani wanayafunga usiku huko kwenye switch zao mpaka kufikia asubuhi huku mtaani hakuna hata tone kwenye bomba. Kwa sababu wanapofunga sio mda huo huo yanakata , hua yanachukua mda kidogo ndio yanakata.Kwa hiyo usiku saa saba hadi saa 9 au 10 yanatoka ndio yanakua yanaishilia ikifika asubuhi hakuna kitu bombaniTitle inaeleweka kabisa yaani usiku maji yanafungwa na pakikucha spana inakuja kukaza kabisa nati hata matone ya maji yanakosekana!!
Wanasema huku miundo mbinu imeharibiwa na mvua kubwa zinazo nyeshaHalafu ruvu imejaa maji mpaka inatapika