DAWASA /DAWASCO maeneo haya yanawahusu kwa hapa Dar

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
880
618
Uzi maalumu wa kuwakumbusha DAWASA maeneo ambayo kwa hapa Dar maji ya bomba la dawasa bado ni ndoto tangia tupate uhuru.
Cha kufanya kila mdau ataje maeneo anayojua kuna changamoto ya maji bado.
Lengo ni kuwakumbusha hawa jamaa, waje kuweka mabomba ya maji.
Nchi yetu sote, kwa nini wengine waishi kama mashetani wakati wengine wanaishi kama malaikaaaa.
Wao wanadai Dar wanaopata maji yao ni 91% je kweli?
Tutajie ulipo, maji ya bomba unapata.?
 
Malamba huku mbezi mwisho maji ni shida Dawasa wametelekeza mabomba barabarani bila kufukia huu mwezi wa tatu na majii Hakuna.
 
Back
Top Bottom