Dawa za nguvu ya kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa za nguvu ya kiume

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 21, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,991
  Likes Received: 3,547
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,991
  Likes Received: 3,547
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,991
  Likes Received: 3,547
  Trophy Points: 280
  Huu Ugonjwa mimi Dawa yake ninayo kwa anaye taka ani P.M.
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Ngoja wagonjwa waje
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  mkuu dawa ni kufanya mazoezi na kula health
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,283
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  I am just exercising regularly and eat healthy food...hayo mengine magumashi tu watu wataishije mijini.
   
 7. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dawa ni jinsi ulivyoiweka akili yako.
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,283
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Akili inaweza ikawa inataka ila mwili ukakataa...kwahiyo the best way ni combination ya mwili na akili. You have to be physically, spiritually and mentally fit to handle well some of the life issues including hilo suala.
   
 9. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,713
  Likes Received: 1,593
  Trophy Points: 280
  Ya nguvu za kike unayo?
   
 10. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Angalia signature yake ilivyo,MADKARI ni watu gani?.kweli magamba noma
   
 11. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,995
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  hivi huwa ni nguvu za kiume au za kusimamisha uume?
   
 12. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kunywa viroba jogoo vinne na kitimoto kilo moja, utasimamia kama baiskeli,
   
 13. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mzizi Huo ni Mtaji kwa kizazi hiki

  Maana Tatizo hili ni kubwa sana utauza sana mzee

  Ila chanzo cha tatizo hili ni nini kwa kizazi hiki??????

  Ili kuliondoa tatizo hili tunafanyeje?????
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  au uwezo wa kurusha spam..
   
 15. nukta

  nukta Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Sijapata sikia hio wala dawa ya kuongeza nanihii zao.
   
 16. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,536
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Unapoongelea dawa za nguvu za kiume una maana gani mkuu> Maana swala la upungufu wa nguvu za kiume ni pana na limegawanyika katika maeneo mbali mbali, sasa sijui wewe unaonglea upungufu wa ngyvu za kiume wa aina gani?
   
 17. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika na supu ya pweza kwa walio pembezoni mwa bahari
   
 18. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwani kusimamisha Uume unatumia nguvu?
   
 19. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mi napita tu wakuu
   
 20. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mzizi maneno gani hayo? sema nguvu za simba
   
Loading...