Dawa za nguvu ya kiume

Ya nguvu za kike unayo?
Dawa ya nguvu za kike ninayo ni Asali Safi mbichi.

Kwa research iliyofanyika tumeona katika asali kuna :
22 amino acids, 28 minerals, 11 enzymes, 14 fatty acids na 11 carbohydrates, kiwango cha vitu hivyo hupungua au huodoka kabisa ikiwa utavichoma kwa moto wa 150F.
Moisture 20.0% - calcium 5 mg
Protein 0.3% - Phosphorus 16 mg
Minerals 0.2% - Iron 0.9 mg
Carbohydrates 75.5% - Vitamins C 4 mg (samall amount of Vitamin B complex)

Umuhimu na faida za Asali
Kwa maelezo zaidi kuhusu Faida ya kutumia Asali bonyeza hapa. https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/184017-faida-ya-kutumia-asali.html
 
Unapoongelea dawa za nguvu za kiume una maana gani mkuu> Maana swala la upungufu wa nguvu za kiume ni pana na limegawanyika katika maeneo mbali mbali, sasa sijui wewe unaonglea upungufu wa ngyvu za kiume wa aina gani?
Dawa za Nguvu za kiume maana yake ni Upungufu wa nguvu za kufanya tendo la Sex Mkuu ninafikiri unanielewa hatuwezi kusema wazi lazima uweke kitu kama hiki () je wewe unazo hizo Nguvu za kufanya tendo la Sex?
 
Kwani kusimamisha Uume unatumia nguvu?
Unapo tia ndio unatumia nguvu unaweza kusimama lakini ukawa hauna nguvu za kutia sasa kazi kweli Waswahili Mwanamme ni uboo kama huna nguvu za kiume wewe sio mwanamme mkuu. Hata kama una Mamilioni ya pesa lakini kama huwezi kufanya tendo la ndoa sex basi wewe Uanaume wako haujakamilika upo Mwanamme pungufu.
 
  • Thanks
Reactions: JS
Dawa za Nguvu za kiume maana yake ni Upungufu wa nguvu za kufanya tendo la Sex Mkuu ninafikiri unanielewa hatuwezi kusema wazi lazima uweke kitu kama hiki () je wewe unazo hizo Nguvu za kufanya tendo la Sex?

Nguvu za kufanya sex kuna mambo mawili Either nguvu za kusimamisha uume? Au Nguvu na uwezo wa kumridhisha mwanamke. Sasa yapi katika ya hayo mawili ndio unayomaanisha wewe?
 
Nguvu za kufanya sex kuna mambo mawili Either nguvu za kusimamisha uume? Au Nguvu na uwezo wa kumridhisha mwanamke. Sasa yapi katika ya hayo mawili ndio unayomaanisha wewe?

Kwani huwa mnatumia nguvu kusimamisha?si uume unasimama wenyewe kutokana na hisia?

Nguvu hapa ni ya kufanya tendo lenyewe baada ya kusimamisha bila nguvu hakifanyiki kitu. Na nguvu hiyo hiyo ndo inatumika kusukuma nanihiii nje au mimi ndo sijui?? <<confusion confusion confusion>>
 
Kwani huwa mnatumia nguvu kusimamisha?si uume unasimama wenyewe kutokana na hisia?

Nguvu hapa ni ya kufanya tendo lenyewe baada ya kusimamisha bila nguvu hakifanyiki kitu. Na nguvu hiyo hiyo ndo inatumika kusukuma nanihiii nje au mimi ndo sijui?? <<confusion confusion="">>

Ahahahahahaaaa yaani wewe ndo hujui kabisa unachokiongelea. Poor thing </confusion>:thinking:
 
kipanya_19_-_03-_2012_20120320_1833885767.jpg

Mbona baba mwenyewe kavaa kijani ni gamba nini?
 
Nguvu za kufanya sex kuna mambo mawili Either nguvu za kusimamisha uume? Au Nguvu na uwezo wa kumridhisha mwanamke. Sasa yapi katika ya hayo mawili ndio unayomaanisha wewe?
Zote mbili hizo ninazo nguvu za kusimamisha Uume na nguvu za kumridhisha mpenzi wako mkuu ndio hiyo Dawa ya nguvu za kiume.
 
Back
Top Bottom