Dawa za Mzizi Mkavu zinatibu kweli?

Naomba kufaham ni kwanini misuli inachezacheza. Misuli ya mikononi na miguuni. Je kuna uhusiano na suala la msongo wa mawazo. Nn nfanye ili kupunguza msongo. Nna miaka23. Natanguliza shukurani
 
Wakuu
Naomba kuuliza dawa za mzizi mkavu zile za kumrefusha bwana mkubwa zinafanya kazi kweli au ndo wajanja wa town. kuna yeyote aliwahi kutumia akapata matokeo chanya? Kama kweli zinatibu kwanini asitumie verified user kwa jina halisi na picha yake ili aongeze uaminifu kwa wateja wake. Ni mashaka yangu tu kama kuna mtu ana ufafanuzi anaweza akanisaidia hapa jukwaan.
Mkuu.....
Hivi hauogopi kulogwa....
Watu wengine humu, sio wa mchelemchezo aiseeee....
Kwamfano huyo ulie mtaja..
 
Habari Mie naomba kufahamu dawa ya u.t.i sugu na p.i.d Kwa jinsia ya kike ni maradhi ambayo yananisumbua Sana
 
Wakuu
Naomba kuuliza dawa za mzizi mkavu zile za kumrefusha bwana mkubwa zinafanya kazi kweli au ndo wajanja wa town. kuna yeyote aliwahi kutumia akapata matokeo chanya? Kama kweli zinatibu kwanini asitumie verified user kwa jina halisi na picha yake ili aongeze uaminifu kwa wateja wake. Ni mashaka yangu tu kama kuna mtu ana ufafanuzi anaweza akanisaidia hapa jukwaan.
Alinipiga pesa kwenye dawa ya kukuza mashine, nenda kwa tahahari.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Habari Mie naomba kufahamu dawa ya u.t.i sugu na p.i.d Kwa jinsia ya kike ni maradhi ambayo yananisumbua Sana
Chuma majani ayo chemsha kunywa Kwa kutibu.jpg

Chuma majani hayo chemsha kunywa Kwa kujitibu maradhi yako.Usipo pona nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
 
Back
Top Bottom