Dawa za Malaria zitengenezwe TPRI Arusha tu!

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,606
8,744
Imefikia wakati wa serikali kuingilia swala la watu kuuziwa dawa fake kutoka China na India. Kwa kuwa dawa za malarial ni vingonge na ni vya Generic drug TPRI inaweka kuomba formular ya dawa na kutengeneza pale Arusha.
 
Cost-Benefit analysis ya kuanzisha uzalishaji huo Vs kuendelea kupokea commission za Mhindi wa Shellys pale Pugu Road inazuia wafaidika kufikia uamuzi huo!
Otherwise TPRI wako vizuri sana kwenye chemicals za biocides, ...naamini kwa utafiti wa hali ya Tanzania wanaweza kutengeneza dawa effective za Malaria wakiwa na formula!
 
Wazo ni zuri sana lakini uzalendo na utashi wa kisiasa haupo hapa nchini. Mabepari wenye viwanda vya madawa huko ng'ambo wanatumia rupia ili jambo hilo lisitekelezeke!
 
Muanzisha mada nadhani hujafanya home work yako vizuri kwa kuwa hufahamu kazi za TPRI. Jinsi majukumu ya TPRI yalivyo kuhusiana na viuatilifu (pestcides) ni sawa na mkemia mkuu wa serikali (GCLA) kuhusu kemikali za viwandani mf Cyanide au mamlaka ya vipimo na mizani (WMA) na mizani. Nadhani hakuna haja ya kuendelea kuijadili hii mada zaidi. Nawasilisha
 
nakubaliana na wewe mkuu, huyu jamaa hajafanya homework yake ipasavyo, maana hajui kuwa hapa Tanzania kuna viwanda kama shelys, Tanzania pharmaceutical industries (TPI) cha arusha, zenufa na kadhalika. Pia mtoa mada hajafanya utafiti hata wa kujua maana ya neno counterfeit medicine au dawa feki, fanya sehemu yako kwanza.
Muanzisha mada nadhani hujafanya home work yako vizuri kwa kuwa hufahamu kazi za TPRI. Jinsi majukumu ya TPRI yalivyo kuhusiana na viuatilifu (pestcides) ni sawa na mkemia mkuu wa serikali (GCLA) kuhusu kemikali za viwandani mf Cyanide au mamlaka ya vipimo na mizani (WMA) na mizani. Nadhani hakuna haja ya kuendelea kuijadili hii mada zaidi. Nawasilisha
 
Muanzisha mada nadhani hujafanya home work yako vizuri kwa kuwa hufahamu kazi za TPRI. Jinsi majukumu ya TPRI yalivyo kuhusiana na viuatilifu (pestcides) ni sawa na mkemia mkuu wa serikali (GCLA) kuhusu kemikali za viwandani mf Cyanide au mamlaka ya vipimo na mizani (WMA) na mizani. Nadhani hakuna haja ya kuendelea kuijadili hii mada zaidi. Nawasilisha
 
bongo wewe ni mjeni?
mbona richmond walianza kuomba tenda ya bomba la mafuta baadae wakaja na umeme?
mbona rais alichukua kiwira akiwa ikulu?
mbona mbona kapunga imechuliwa na mwenyekiti wa ccm mbeya?
mbona ....... amechukua tenda ya mafuta na kuua treni ya kati?
 
Imefikia wakati wa serikali kuingilia swala la watu kuuziwa dawa fake kutoka China na India. Kwa kuwa dawa za malarial ni vingonge na ni vya Generic drug TPRI inaweka kuomba formular ya dawa na kutengeneza pale Arusha
.

TPRI-Tanzania Pesticides research Institute! I hope unajua maana ya 'Pesticides'.. Irrelevant to ur topic!!
 
jamani pesticides na matumizi ya binadamu wapi na wapi? TPRI-Tropical Pesticide Research Institute
 
.

TPRI-Tanzania Pesticides research Institute! I hope unajua maana ya 'Pesticides'.. Irrelevant to ur topic!!

Nafikiri alikuwa anamaanisha TPI ie Tanzania Pharmaceutical Industry, hiyo R nafikiri imeongezeka bahati mbaya na ikaharibu kabisa alichokuwa anataka watu waelewe. Pamoja na hayo nikufahamishe kuwa TPI walikuwa wanazalisha dawa fulani ilikuwa inaitwa Thaitanzunate, generic ya Artesunate. Baada ya WHO kusema kuwa monotherapies ie dawa zisizo za mseto yaani non combination therapies zisitumike basi nafiki na yenyewe ikafia humohumo. Sasa naona uwezo wa kununua leseni ya hizi combinations nyingine labda hawana au mambo ya patent yanaleta shida hapo.
 
Back
Top Bottom