Dawa za kuua mbu za coil na spray

Dawa za kuua mbu za coil na spray

Masangutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
814
Reaction score
653
Habari wadau wa JF,dukuduku langu nijuu ya hizi sumu za kuua mbu za coil na za kuspray,nimeprove hazifanyi kazi,unapopulizia ajabu mbu au nzi wanapeta tu,tena zile zakuchoma ndo fake kabisa!

TBS inalijua hili?

Nawasilisha.
 
Watu wanaroho mbaya jamani sasa hata mbu na nzi wanahaki yakuishi msiwauwe jaman
 
Pole sana mdau, ila Nadhani wapo kwenye process ya kuboresha viwango vya hizo sumu za kuua wadudu, naamini mwezi huu mchakato utaanza.
 
miaka mingapi imepita. wa acheni bana nao viumbe wa mungu wa faidi maisha kidogo wew binadamu nako una njia nying sana za kufa tofauti na mAleria
 
Back
Top Bottom