"Dawa za Kulevya"za Manji si Dawa za Kulevya

Hii kasi haikustahili. Niliiona tokea mwanzo. Hivi ni visa tu vya kibiashara, siasa na maisha binafsi. Manji ninayemfahamu mimi hatumii wala kufanya biashara ya madawa.
Hasara za kuvuta bangi na kushabikia CCM
Kasi ndyo nn?
 
Kutafuta kick,ati Malaika aishi kama shetani kwa sababu Chattle kuna masikini wanaoishi kama mashetani kazi ipo
 
Soon watakuita mtoa mada sio MZALENDO

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Nimeicheki kwe taarifa ya habari nikajisemea moyoni kuwa kumfunga Tajiri kwa kosa alilojitendea mwenyewe ni ngumu sana. Alafu manji kajiachia kama Sadaam Hussein rais wa Kuwait.

Nimeipenda hii nakumbuka wakati wa kampeni mheshimiwa flani saadam Rais wa Kuwait
 
Haswa. Kuna kitu sijakielewa,unijuze. Watumia madawa wengi wanapobainika,nimeona wakipelekwa vituo maalumu vya tiba au ushauri. Nini tofauti ya huyu "kama ni mtumiaji kweli" kupelekwa kwa court hadi kunyimwa dhamana,na wale watumiaji wengine?na ambao wapo vituo maalumu?
Manji ni high profile, hawezi kupelekwa rehab.Kuna uwezekano mkubwa kuwa Manji anaumwa na alikuwa kwenye matibabu ya kutumia "dawa za kulevya"Sababu nyingine ya msingi ni kuwa kesi ya Manji ni feki. Inafanywa kisiasa mama kisasi. Wanajua hana hatia, wamemkuta na sare za jeshi ila hakuiba, ni supplier, huwezi kuwa na combat ukauza mtaani. Lazima uuze kwa jeshi. Muda utatuambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manji ni high profile, hawezi kupelekwa rehab.Kuna uwezekano mkubwa kuwa Manji anaumwa na alikuwa kwenye matibabu ya kutumia "dawa za kulevya"Sababu nyingine ya msingi ni kuwa kesi ya Manji ni feki. Inafanywa kisiasa mama kisasi. Wanajua hana hatia, wamemkuta na sare za jeshi ila hakuiba, ni supplier, huwezi kuwa na combat ukauza mtaani. Lazima uuze kwa jeshi. Muda utatuambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usemacho kina mashiko............Familia imejitahidi sana kumtibu ndugu yao.........!!!!!!
 
Hakuna kesi hapo, ni ile press conference ya mbwembwe kibao ndiyo ilimponza from day 1. Press awaachie wanasiasa, yeye afanye biashara hivi hajifunzi kwa kina Mengi na Bakheressa.
 
Unadhani threshold levels za benzodiezipines kwenye tiba ni sawa na zile za kutumiwa kwenye ngada?

Tatizo mnataka kushindana na sayansi wakati mmesomea sanaa!
Nani? wewe ndio umesomea sayansi?
ama kweli wewe jinga lao.
haya hongera
by the way ngada ndio mdudu gani?
 
Manji hana kesi Ila USISIEMU wake ndio unaomponza, kwakua chanzo cha mateso yoote nichuki na kisasi cha mkulu.
Alihaidi watu aina ya manji wataishi kama mashetani ,kwakudai kuwa walikuwa wakiishi kama malaika.
Nichuki tu za kisiasa hakuna asiejua.
Ngoja tuendelee kushuhudia Hii ngoma ya kisukuma itaishia wapi.
Kwenye Press conference ya Sumaye juzi, amezungumzia sana hili swala la CHUKI ZA KISIASA!!

Pia ametoa angalizo kuwa "kama wao wangekuwa na chuki pia, basi kuna watu wasingekuwa hapo walipo au wangekuwa hata magerezani". Naona lile dongo lilielekezwa kwa Mkulu au mawaziri wake ..............!!
 
Huko Rumande wamekaa Master Minds 3
Ruge
Manji
Seth

Wakitoka wote kuna mtu ataumia sana maana uwezekano wa yeye kuwa alipo ni mdogo sana
 
Wenye mashitaka ya kikweli na yenye ushahidi (Kama wale wanachama wa chama kile waliopokea mabilioni ya fedha kwenye akaunti zao) wako huru wanaendelea kufurahia maisha.
 
Hivi Mkemia Mkuu alisema amekuta traces za madawa ya kulevya, au alisema amekuta traces za dawa fulani???
 
Enough is enough , tukemee huu upuuzi, nchi inapotawaliwa bila kufuata Sheria hatuwezi kujua kesho tutaamkaje!
 
Back
Top Bottom