Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kuna Bar moja hapa town nilimkuta dada mmoja, Mzuri sana ,nikaomba kukaanae karibu. Tukaanza kupiga story mbili tatu mara akaja dada mwingine mzuri zaidi inasemekana amezaa na Msanii mmoja (Msanii huyu mkubwa amabae nae anatumia dawa hizi) yule dada alikuwa amevaa ndala za guest wakasalimiana then akenda zake. Dada huyu akaanza kunipa ubuyu ubuyu.
Ubuyu ulivyoendelea akaniambia ni jinsi gani huyo dada alivyompeleka hadi chooni akakuta anakula dawa za kulevya. Baada ya hapo Kwa haraka haraka tu akanitajia karibu wasanii wote anaowajua wanatumia dawa za kulevya na wengine hawaonyeshi na wanaheshima kubwa sana kwenye jamiii. Akaniambia kuna unga flani unauzwa bei mbaya kwa kakucha kamoja. Na akaniambia hawa ambao wanashindwa kununua ule wa bei mbaya ndio wanakula matakataka ya mtaani.(Mateja)
Ushauri kwa wazazi ukio mwanao anapenda starehe hataki shule bora Aza kuswali sana. Dunia imebadilika sana na inatisha. Wasichana wengi sana ambao ni vioo vya jamii wanalishwa unga na wapenzi wao.