Dawa za Anxiety

Hizo ni Dalili za ulozi na dawa nzuri ni kupitia kupata mafundisho ya Yesu Kristo!

Nazungumzia uzoefu kabisa!
Mtu mweusi bwana, kwahiyo tiba za hospitalini ni ulozi sikuhizi? WTF. Dini isikufanye mpumbavu aisee. Depression, anxiety is real, millions are dying out there.
 
It comforts me kujua kuna watu aina hii kama mimi. For a minute nilijuona an Allien hivi.

Asante Sara, ntafanyia kazi ushauri wako
tena tupo wengi mnooo yaani sana. ila mazoezi ni s=dawa muhim sana, maana inavichocheo vya kuleta furaha zaidi
 
Saingine ni ukute kuna mwanamke mchepuko uko nae nje au uliwahi kuwa nae kwenye uhusiano ndiye anayewaharibia!

Hebu tafakali!

Mjibu huyo kaka maswali anayo kuuliza anamaana nzuri.
Hili suala lilitokea kwa mdogo wangu kumbe yalikua ni mambo ya kienyeji

Kuna mwanamke alitembea nae ndiye aliye muharibu yani alikua anataka apewe yeye tu kwa hiyo dogo akienda sehemu nyingine ngoma haisimami
 
Mtu mwenye kupatikana na hilo tatizo anapaswa kufanya nini ili apone na kuwa huru kama awali?
Ni process ndefu, kama ambavyo unachukua muda mrefu kuathirika, kupona unahitaji muda pia. Na unaweza kurudi ukawa hata strong zaidi ya ulivyokuwa zamani. Na kila mtu anahitaji approach tofauti, ila kwa kuanzia unatakiwa ujitambue mfano ukiwa katika hali hiyo unakuwa unawaza nini, na nini kinasababisha.
 
tena tupo wengi mnooo yaani sana. ila mazoezi ni s=dawa muhim sana, maana inavichocheo vya kuleta furaha zaidi
Mazoezi kila nikianza naishia siku ya pili
 
Mtu mweusi bwana, kwahiyo tiba za hospitalini ni ulozi sikuhizi? WTF. Dini isikufanye mpumbavu aisee. Depression, anxiety is real, millions are dying out there.

Nisome vizuri Mpendwa , pia jaribu kufuatilia michango yangu ya mawazo utanielewa tu.

Nitakuwa waajabu sana kama nitasema dawa za hospitali hazifai.

Jaribu kuoanisha mawazo mazuri ya watu mbali mbali mfano wengine Wamesema mtu akijizoesha kutumia dawa za hospitali zinaweza mpelekea kuwa edicted na kuwa mtumwa wa kutumia hizo dawa for the rest of his or her life!

Na dawa zikitumika kwa muda mrefu sana kwa miaka nyingine zaweza leta madhara kwenye mwili wa binadamu.

Sasa kuepuka hayo yote ndipo sasa tunaposhauri njia mbadala ambazo nazo zimethibitishwa na wanasayansi kuponyesha pasipo shaka.

Njia hizo ni pamoja na maombi kupitia Jina la Yesu Kristo na kushika maneno yake ya uzima kisha kuwekwa huru kuanzia ndani ya moyo, akili na nafsi hadi nje ya mwili.

Mwanadamu aliumbwa kwa njia ya Neno la Mungu na kwahiyo maisha yake yote yanakuwa regulated na Neno lile lile la Kristo.

Mungu alisema “natumfanye mtu kwa sura na mfano wetu” ndipo mtu akaombewe.

Pia wengine wameshauri mazoezi, kubadilisha aina ya mifumo ya maisha n.k

Hata madaktari wa psychologia na psychiatric watakwambia kuwa mambo kama ya hasita, chuki, uchungu kumbukizi ya matatizo yalopita huwa si salama.

Jiongeze katika kupata maarifa zaidi .
 

Asante kwa maelezo mazuri sana maana nimejifunza kitu kipya hapo!

Hapo mwishoni penye kujitambua,
Kwamba nikiwa kwenye hali hiyo nakuwa nawaza nini na nini kinasababisha,

Je unaweza kueleza kwa mfano rahisi ili kueleweka zaidi? Tafadhali kama hutajali.

Mfano swala la ku panic, kuwa na hasira na uchungu , Woga ukopitiliza n.k

Mfano mwingine akifika hospitali tu pressure inapanda kwa woga,

Mwingine akipanda gari tu anaogopa kupata ajali Yani hawezi kurelax.

N.k
 

Iko hivi Unavyokuwa kuna hatua unapitia na ubongo unaweka kumbukumbu ili uweze survive kwenye mambo mbalimbali ya kimaisha . Katika umri wa miaka miwili mpaka sita unapita kwenye kipindi cha kujaribu mambo , curiosity , jamii inayokuzunguka itakuongoza mfano House girl, Mzazi, yule mtu utakayekuwa naye muda mrefu , pia shuleni . Hichi ni kipindi muhimu sana kwenye ukuaji . Tukio lolote unalopata unaweza kujenga au kuondoa kuamini mtu au vitu . Unapokaripiwa, au kudanganywa mfano hospitali mzazi anakuambia hamna shida , na Daktari nae hivyo hivyo lakini ghafla unapata maumivu makali ya sindano hapo hapo akili inajenga kumbukumbu ya hofu ili kujihami na maumivu huko baadae. Matukio kama kubakwa, kunyanyasika utotoni yanaacha alama ya kudumu sana kwenye ubongo. Katika hatua hii ya ukuaji unakuwa hauna namna zaidi ya kuwaamini wakubwa walio karibu nawe. Wanachokuambia lazima ukiamini tu mpaka hata wanaweza kukana hisia zako unapowaambia , sasa unapokuwa mtu mzima wengine bado wa ile ile akili kwamba hawana namna nyingine mambo ndivyo yalivyo. Lakini tambua unaweza kuweka kumbukumbu mpya ya chaguo lako kwenye akili yako. Make friends with your devil inside yourself!
Sio rahisi mfano mtu akija na ukwaju karibu yako mawazo ya ile ladha yanakuja akilini, ghafla mate yanajaa mdomoni bila control yako kwani kumbukumbu yako inajua ile ladha na utakavyojisikia.
Chukua muda kaa tathmini mawazo yanayoendelea kichwani mwako usijaribu kuyazuia, kuwa kama mtu mwingine taratibu yaache yaendelee huku ukiwa kama outsider hivi, mwanzoni chukua kama dakika mbili , alafu baada ya muda ongeza muda taratibu ukiwa ukiweka focus jinsi unavyohema hewa inavyoingia na kutoka. Hizo paniki zikija jaribu polepole focus kwenye breathing lakini bila kutumia nguvu kubwa . Itakuchukua muda kuweza lakini utafika point ambayo utakuwa na control na hisia zako hasi za mwili.
 
Ni kawaida sana Mkuu kuwa ma hizo dalili kwa mtu mwenye madonda ya tumbo,punguza mawazo mkuu
 
Mazoezi kila nikianza naishia siku ya pili
Hapo wengi tunasumbuka sana, but it takes only 28 days to building a routine or habit. sasa hapo ni self discipline tu hakuna namna.
Kuwa na headphones sikiliza kitu kwa simu yako, changua kitu kama music au story nzuri.
 
Weka nia,
Kamia toka moyoni mwako !

Ni kwa faida ya afya yako.

Epika kampani ya wavivu.
Nitafanya hivyo ndugu.

Sina kampani ya wavivu, to be exact sina kampani yeyote physical. Washkaji ni kama hivyo mitandaoni na IDs zilizofichwa
 
U've just described dalili udulthood kijana..[emoji4][emoji4] watu wazima wazoefu tunasema karibu sana chamani.
 
Mazoezi kila nikianza naishia siku ya pili
Ukitaka kuwin mazoezi fata taratibu hizi kadhaa ambazo nina zi apply katika maisha yangu ya mazoezi kila siku..

1.no excuse
Hakuna udhuru katika mazoezi kwamba ooh sina muda,ooh nimechelewa kuamka,ooh niko bize wiki nzima..hakuna excuse katika mazoezi.unatoka nyumbani saa 11 unarudi saa 11 basi andaa nusu saa usiku ufanye mazoezi linakutosha.ukiendelea kujipa udhuru wewe mwenyewe hakuna utakachofanya.

2.behind the scene is where the work is done.
Pale unapokuwa nyuma ya macho ya watu,pale unapokuwa peke yako ndipo kazi inapofanyika na unatakiwa kufanya juhudi pale unapokuwa peke yako kwa sababu utakapofanya hivyo Utajitengenezea self motivation within you.

Wengi wanafanya mazoezi wakiwa na watu wengi ili wapate ile morali na juhudi zaidi.
Kama unaanza mazoezi anza ukiwa peke yako ili ujitengenrzee self motivation.

3.dont start counting untill it hurts..
Unapofanya mazoezi Mfano push up basi pale unapoanza kuhisi maumivu ya mikono Ndo uanze kuhesabu sio unapoanza kuhisi maumivu ya mikono ndo uache no no no....
 
Mkuu Safuher,

Asante nitakuja na mrejesho baada ya wiki kadhaa.
 
Hizo ni Dalili za ulozi na dawa nzuri ni kupitia kupata mafundisho ya Yesu Kristo!

Nazungumzia uzoefu kabisa!
Nalazimika kusema hujui hulisemalo au ni kwasababu hujawahi pitia hii hali.
Ndugu sio kila kitu ni ushauri wa kiroho, mengine ni kutumia akili ambayo ni Kipawa cha Mungu kwa mtu.
Ukienda ulaya ndio utayajua haya yani mchungaji anakusikikiza kisha anakushauri uende kwa psychologist na namba ya simu anakupa ila bongo wachungaji kila kitu wanaweza
 
Anza kwa kuacha
Kunywa kahawa
Kula nyama
Kutumia vitunguu
Kufanya meditation
 
jf ni kila kitu kuna hado mafaktari wa vichaaa
 
Mkuu ebu hii meditation inskuwajee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…