mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,448
- 992
- Thread starter
- #21
Mbona ka sijaelewa vilee...
Nilikuwa nadhani makesha wa jana Parokiani umenilewesha
Kumbe hata wewe hujaelewa kama mimi .....!!!!!!!!
Hainaga dawa hiyo ukimegewa nawe tafuta manyonge ummegee...
dawa iko wapi jamani
dawa iko wapi sasa?
Kwani wale wanaosalitiwa na kusaliti wenzi wao tupo nao kati yetu, sasa why hatujihangaishi kutafuta namna nzuri zaidi ya kupunguza wahanga?