...Dawa ya wasaliti hii hapa...

...Dawa ya wasaliti hii hapa...

mtunzasiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
1,448
Reaction score
992
Nilikuwa najiuliza sijapata picha hivi tufanye kidume au kidada kinataka kugegedana tuu bila ndoa inawezekana kwa mdada au mkaka kukubaliana nae?

Hii bila kuhusisha kwa wale wanaojiuza?

Na kama itawezekana ni njia gani bora zaidi ya kulielezea kwa mwenza asiyekuwa rasmi?

MAANA hiyo yaweza kuwa dawa kwa wahanga wa kusalitiwa kila siku labda mmoja alikuwa anataka kugegeda tuu lakini kaingia kwa sifa na gia za kuoa mwisho itasemwa wamesalitiana. Tuzungumzie hii bila hisia..
 
Hainaga dawa hiyo ukimegewa nawe tafuta manyonge ummegee...
 
Cjaelewa kabisaaaa hi mada, pls ambaye ameelewa anieleweshe.
 
nilikuwa najiuliza sijapata picha hivi tufanye kidume au kidada kinataka kugegedana tuu bila ndoa inawezekana kwa mdada au mkaka kukubaliana nae?

Hii bila kuhusisha kwa wale wanaojiuza?

Na kama itawezekana ni njia gani bora zaidi ya kulielezea kwa mwenza asiyekuwa rasmi?

Maana hiyo yaweza kuwa dawa kwa wahanga wa kusalitiwa kila siku labda mmoja alikuwa anataka kugegeda tuu lakini kaingia kwa sifa na gia za kuoa mwisho itasemwa wamesalitiana. Tuzungumzie hii bila hisia..

hakuna dawa ya usaliti! Hiyo ni tabia ya shetani maana ndiye kiongozi wa usaliti na ametuambukiza wanadamu hadi tusalitiane kwa mambo ya ndoa ambayo ni uzinzi! Tukisema dawa tuna maanisha kukomoana na hapo sio dawa tena ila ni usaliti unaendelea, aliyekuwa safi naye anakuwa mchafu so hapo hakuna dawa ila ugonjwa au dhambi imezaa mauti! Kama tulivyo agizwa ukihakiki mke wako amezini basi muache!
 
Back
Top Bottom