Dawa ya waongo

Dawa ya waongo

linatakiwa liwekwe mbele ya jk wakati anatoa hotuba zake za mwisho wa mwezi.
 
ah! Bayo nimechekaa,yaani you just made my day...paaaah!
 
likiletwa bongo kipindi cha uchaguzi hakuna atakayerudisha fomu ya kugombea kuogopa kibao cha robort
 
yaani hilo likiletwa duh mbona watu watalia maana waongo kimapenzi
 
Hiyo ipelekwe mahakamani na kwenye viwanja vya mikutano ya kampen wakati wa uchaguzi!
Umenena mamaa, naamini mahakimu (majaji) na waendesha mashtaka watalabwa makofi mpaka basi. Kipindi cha kampeni sipati picha wagombea wazee kwa vijana watakapolabwa makofi ya nguvu.
 
ha,ha,ha,ha,haaa... Nimeipenda hii yan mpaka nimetoka kwny usingizi nikiwa kwny folen ha,ha,ha,ha,haaa
 
ha,ha,ha,ha,haaa... Nimeipenda hii yan mpaka nimetoka kwny usingizi nikiwa kwny folen ha,ha,ha,ha,haaa

Pamoja bishop... Emdelea kuwaongoza watu mungu vizuri
 
Nimecheka mpaka nimevunja laptop yangu..................paaaaaaaaaaah, ohooooh!
 
Back
Top Bottom