Dawa ya waongo

Bayo

Senior Member
Jul 2, 2009
195
34
Mwanasayansi mmoja, alifanikiwa kutengeneza robort ambalo lilikua na uwezo wa kugundua kama mtu anadanganya na linampiga kibao. Paaaaaah!! Tajiri mmoja aliekua anamiliki shule aliamua kulinunua ili kuwakomesha watoto watoro na wahongo shuleni kwake.

Kwanza aliamua kulijaribishia nyumbani kwake. Mda wa dinner, yeye, mtoto wao Johnny na mkewe.
BABA: Johnny jana ulikua wapi?
JOHNNY: nilienda shule baba. (KIBAO..Paaaah) nilikua kwa kina Mark.
BABA: Ulikua unafanya nini?
JOHNNY: Tulikua tuna fanya home work… Paaaaaaaah,, aahh Tulikua tunaangalia movie
BABA: Movie gani mbona hapa nyumbani zipo nyingi tu?
JOHNNY: Harry Potter… Paaaaahh, ahah Porn movies
BABA: (Hasira) Pumbavu, sie wakati wa umri kama wenu tulikua tunawaza masomo na.. …. Paaaaaah
JOHNNY: (Kicheko… kwi kwi kwi kwi..)
MAMA: We tabia gani kumcheka Baba yako? Paaaaah Kibao!

Duh?
 

Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,223
2,902
Hiyo ipelekwe mahakamani na kwenye viwanja vya mikutano ya kampen wakati wa uchaguzi!
 

Bushbaby

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,590
434
ha ha ha maza naye alisema uongo kuwa yule alikuwa baba yake na Johnny!!! akaambulia kibao.....
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
46,501
62,706
Mmmmh naogopa kama litapelekwa huko maana itabidi lianze na Kiranja Mkuu mwenyewe, siju FFu watalifanyeje huko??
Hiyo ipelekwe mahakamani na kwenye viwanja vya mikutano ya kampen wakati wa uchaguzi!
 

kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,350
279
Pale kwenye jibu la kuangalia porn...angepigwa tena angesema tulikuwa tunafanya......
 

Mamaa Kigogo

Senior Member
Sep 26, 2011
105
43
hilo robort lilitakiwa kuwekwa chumbani kwa wana ndoa wanaume wangekuwa wanalabuliwa kila siku kwa kweli me nitalinunua
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Linafaa lipelekwe ikulu kwa jk, ahadi zake zote ni za uongo.
 

Bayo

Senior Member
Jul 2, 2009
195
34
Mwanasayansi mmoja, alifanikiwa kutengeneza robort ambalo lilikua na uwezo wa kugundua kama mtu anadanganya na linampiga kibao. Paaaaaah!! Tajiri mmoja aliekua anamiliki shule aliamua kulinunua ili kuwakomesha watoto watoro na wahongo shuleni kwake. Kwanza aliamua kulijaribishia nyumbani kwake. Mda wa dinner, yeye, mtoto wao Johnny na mkewe.
BABA: Johnny jana ulikua wapi?
JOHNNY: nilienda shule baba. (KIBAO..Paaaah) nilikua kwa kina Mark.
BABA: Ulikua unafanya nini?
JOHNNY: T hiyo inafaa sana wakati wa kawpeni za uchaguzi na wapewe magamba litawanyosha sana.


Mh!!!
 

Bayo

Senior Member
Jul 2, 2009
195
34
naomba unitumie li roboti moja manake huyu gf wangu mmmh..naona itasaidia

Ha ha ha ha ha ha... Litamuua bure mana hawa dada zetu walivyo waongo cku hz... Hata likiletwa humu JF itakuwa ni balaa tupu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

5 Reactions
Reply
Top Bottom