Dawa ya waongo

Dawa ya waongo

ha ha ha..duh nilikuwa bado elewa mimi kwann mama alipigwa kibao...thenkyuu
ha ha ha maza naye alisema uongo kuwa yule alikuwa baba yake na Johnny!!! akaambulia kibao.....
 
Mzee alinunua robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao, dogo akaulizwa na baba yk umepata ngapi kwenye mtihani? Dogo akajibu 100,mara robot likamchapa kofi,baba akasema mi enzi zangu nlikuwa natokea wa kwanza, mara nae kofii, dogo akaanza kucheka,mama akasema we unacheka nini unajua huyo ni baba yako!!! Mara nae kofi!! Unajua kwa nini mama naye alipigwa!?
 
Coz babaake mtoto halisi si miongoni mwao! Toto la kona.
 
Back
Top Bottom