The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Makalekale hata Mimi huwa nawasafishia wanangu,unajua huu usasa yani mtu hajuhi chochote ,kwa tunaobahatika kupata elimu ya wazee Wa zamani ukimwambia mtu anabisha ,wanafikiri watu Wa zamani walikuwa wanaenda kwa specialist.Wewe kweli ni mama unayajua mpaka makalekele!
Safi kwa kunisaidia maana nishaonekana sina huruma na watoto.


