supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Dawa ya usaliti nzuri kuliko zote ni tego akifanya tu ananasa hapo hapo mpk aombe msamaha uje umbandue
I miss you mingi mingi
Mie mzima, ahsante...Hujambo mrembo...miss u back E.S
Hahahaha siamini asee unahisi mtu atachepuka kavuWakuu, habarini.
Nasikia dawa ya kujua kwamba mpenzi wako wa kike ametoka kukusaliti imeshapatikana, unajua unafanyaje? Ukiona una wasiwasi nae, unamvutisha ugolo, ile anaanza kupiga chafya mfululizo zinaanza kushuka zenyewe.
Nawasilisha!
Nenda fb ukatafute wapumbavu wenzio uwataarifu hayo