DAWA YA UPWEKE NI NDOA

Mbona unaongea usivovijua..nani ana wake wanne na anachepuka!?..au mradi nadharia zako zitimie
Sijaropoka nimeongea nikiwa na uhakika na mifano ninayo kwani unadhani mimi sina ndugu au jamaa au marafiki au majirani ambao wameoa wake wanne? Ninao sana na baadhi yao wanachepuka vizuri tu
 
Unaweza ukaoa na bado ukawa mpweke,,be carefull
Ha ha ha ,imenikuta nilikua kweny relation alaf naona kam nipo na mshkj wangu kabisa ,aya mambo basi tu nikaona bora niwe certified single kabisa
 
Hawa wangese wanaoleta sijui haki sawa wameharibu saan

Kiukweli hamnaga usawa ata siku moja na ukiutafuta lazima wew uumie au nyika ndo zitaumia.
 
Sijaropoka nimeongea nikiwa na uhakika na mifano ninayo kwani unadhani mimi sina ndugu au jamaa au marafiki au majirani ambao wameoa wake wanne? Ninao sana na baadhi yao wanachepuka vizuri tu
Plain liar...una hila sana wewe mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…