Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,204
- 7,649
Sasa hapo ndipo ninapoamini kuwa kwenye ndoa mwanaume akikosea basi anatakiwa asamehewe na avumiliwe ila mwanamke akikosea basi anatakiwa apigwe, asalitiwe, aachwe au aongezewe mke na kwanini iwe hivyo? Kwanini wote mnapokoseana msisameheane na msivumiliane? Kwanini umlipizie?
Hapana mwanamke akikosea hamna mahali pameandikwa apigwe...ila mwanamke atakutana na KOFI langu kama namuuliza ulikua wapi au umetoka wapi akanijibu nilikua dukani wakati nimemuona alikua Sehemu tofauti..hapo utakutana na KOFI(uongo sipendi)
Makosa mengine mnaongea tu kusalitiwa ni tabia ya mtu wala sio sababu ya kumfanyia mkeo kisa kakukosea..
kuongezewa mke pia ni Tabia ya mume nadhani kuongezewa mke kibali kinatoka kwa mke wa kwanza
Nikikosea nitaomba msamaha wala sitobisha wala jikweza
Siwezi mlipizia mwenzangu kama yalishapita...hata kama hayajapita kulipiza maana yake ni kurudia kosa la mwenzako Ambapo napo ni kufanya kosa tena,,sasa sidhani kama kuna mfanya kosa kwa makusudi.
Makosa ya makusudi nayoyajua ni kusema UONGO angali ukweli unaujua...ila hyo kulipizia haipo (kwamimi lkn)