DAWA YA UPWEKE NI NDOA

DAWA YA UPWEKE NI NDOA

like charge repel,unlike charge attract each other

Hyo ndio ndoa mkuu,ndoa mkiwa wote mna aina ya mambo ya kufanana hamdumU.

Ndoa mkiwa wote mna sauti ndani haidumu,ndio maana dini ikasema mume amtii mumewe(kama sio madhambi).

Hapo pana falsafa kubwa sana yani,mume kumtii mume katika jambo ambalo sio dhambi manake ni kuitumia ile principe hapo juu ya "unlike charge attract each other" hapo ndo pana kudumu katika ndoa.

Ila mume anataka mke asifaende kwenye sherehe,mke anasema mimi naenda.hamna ndoa.

MKe ni gubu anaongea sana na mume nsye anaongeaa sanaaa,hapo ndoa haitaenda kwa sababu tabia zinafanana.ndio maana dini ikataka mke asipaze sauTi kwa mumewe,awe mpolee

MUme anatakiwa awe na wivu kwa mkewe,lakini mke anatakiwa amuamini mumewe.
Ndoa ikikutana wote wana wivu ni balaa.
Mmoja awe na wivu mwingine awe na imani hapo ndoa itaenda
NI kweli kabisa mkuu hiyo coulumb's law inafanya kazi kweli kweli ni mwendo kama wa MAGNETIC na ndoa ipo hivyo nakiri hilo.. ndio mana watu wanashauri sjui ukitaka kuolewa kijana olewa na baba..au mwanamke olewa na mtu aliekuzidi wasichoelewa n kwamba unapoolewa na mtu aliekuzidi Tayari automatic hamtokaa muwe sawa kifkra na kimawazo.

Yule atakuzidi so chchte atachosema utaamini kwakua kakutangulia atakua yupo sahihi..ile obidience kwa mume inafanya mzidi kuwa pamoja..ila hii ya kuoana mama ana miaka 25 baba 25 wote MUCH KNOW asee kweli mkuu hapo ndoa hamna.

Ndoa mkilingana tu kwenye Tabia..hamdumu.
 
Yes mkuu.

Umri haumati kwa sababu kinachomata ni tabia.

Mume anaweza kuwa na umri mdogo lakini akawa anajitambua sana na amekulia malezi tofauti na mke.Na mke akiwa anajitambua pia inasaidia.
 
kwanini pesa ikufanye usiwe chini ya mume wako? Yawezekana wote mnahudumia familia lakini kumbuka hata kama ikitokea tunafanya kazi aina moja na wote ni ma manager mshahara ni mmoja ila bado tofauti ipo Edelyn unajua ipo wapi..mimi n mwanaume wewe n mwanamke..pamoja na kwamba sisi ni ma manager ila tuna BOSS wa kampuni.

Anaweza akasema Manager wewe (wife) nataka uende sehemu flani na team flani mkatoe elimu kwa wananchi halafu manager mimi (husband) wewe utaenda kijiji flani kipo kigoma kule ndani ndani untawapa team ya vijana utaenda nao mkatoe elimu kwa wana kijiji.

umeona hapo sasa...position yetu wote ni moja ila unaona majukumu yetu wanaume tunavyopewa tofatui na nyie? mwanaume ameumbiwa mateso na shida so ifike tu mahali mkubali kwamba mnapaswa kuwa chini maana pamoja na position yetu kua sawa ila mimi nimetumwa kijijini wewe umeachwa hapa hapa mjini.
Sawa umesema pesa haimfanyi mwanamke kuwa juu ya mwanaume ila naomba nikuulize swali kwani ni kipi kinachomfanya mwanaume kuwa juu ya mwanamke?
 
Hayo maamuzi mepesi yatawacost.
Yatawacost kina nani? Tatizo huwa mnajifanya kama watoto wasio na uwezo wa kufikiria. KE ambao wanatumia akili zao na kufanya maamuzi wanayoyataka always hupata wachachokitaka. Msipo tumia akili zenu mtaishia kutumika kirahisi rahisi tu na watu rahisi rahisi
 
Dogo mbona umepanik?
We subiri tu siku akianguka ndio utajua wanatumia maji au la!!
 
Sawa umesema pesa haimfanyi mwanamke kuwa juu ya mwanaume ila naomba nikuulize swali kwani ni kipi kinachomfanya mwanaume kuwa juu ya mwanamke?
Uhangaikaji na mateso anayopitia kuhakikisha mke na watoto mnabaki salama na kupata mahitaji yote muhimu bila kujali naleta sh ngapi na mama unaleta sh ngap..misoto kwa ujumla.
 
Aisee! Basi endeleeni kutumika ipo siku mtaanguka na kukomoa wanaopenda vitu rahisi..
 
Uhangaikaji na mateso anayopitia kuhakikisha mke na watoto mnabaki salama na kupata mahitaji yote muhimu bila kujali naleta sh ngapi na mama unaleta sh ngap..misoto kwa ujumla.
Baada ya ile misoto wanaume hutaka wakirudi nyumbani waskutane na shurba tena kama zile za mitaani/kazini alizokutana nazo... Edelyn
 
Uhangaikaji na mateso anayopitia kuhakikisha mke na watoto mnabaki salama na kupata mahitaji yote muhimu bila kujali naleta sh ngapi na mama unaleta sh ngap..misoto kwa ujumla.
Sawa uko sahihi kabisa na ndo maana nikakuuliza kwa zile ndoa ambazo mwanamke ndo anafanya hayo majukumu yote ya baba wakati baba yupo je mwanaume bado anastahili kuwa juu ya mwanamke? Kumbuka ndoa kama hizo zipo
 
Sawa umesema pesa haimfanyi mwanamke kuwa juu ya mwanaume ila naomba nikuulize swali kwani ni kipi kinachomfanya mwanaume kuwa juu ya mwanamke?
Habari za mchana mdogo wangu!
 
Sasa hapo ndipo ninapoamini kuwa kwenye ndoa mwanaume akikosea basi anatakiwa asamehewe na avumiliwe ila mwanamke akikosea basi anatakiwa apigwe, asalitiwe, aachwe au aongezewe mke na kwanini iwe hivyo? Kwanini wote mnapokoseana msisameheane na msivumiliane? Kwanini umlipizie?
Halafu hapa haujanijibu mkuu Perimeter
 
Sawa uko sahihi kabisa na ndo maana nikakuuliza kwa zile ndoa ambazo mwanamke ndo anafanya hayo majukumu yote ya baba wakati baba yupo je mwanaume bado anastahili kuwa juu ya mwanamke? Kumbuka ndoa kama hizo zipo
Hapana kwa kweli...ndoa ambazo mwanaume yeye anashinda kwenye draft mwanamke anapambana na vitumbua na kuuza genge na akirudi apike afue..Heshima hapo inatakiwa iwe kwa mwanamke maana anapitia magumu aliyotakiwa apitie mwanaume.
 
Haya vipi na zile ndoa ambazo mwanaume anatafuta pesa na kuhudumia watoto tu hafanyi kazi za nyumbani wala halei watoto halafu mwanamke anatafuta pesa anahudumia watoto anafanya kazi za nyumbani na analea watoto nani hapo anafanya majukumu mengi na nani hapo anastahili kuwa juu?
 
Back
Top Bottom