Dawa ya unyumba

Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
5,269
4,973
Habari wana jf,ngoja leo niwape dawa itakayodumisha ndoa yako na hiyo si nyingine bali ni tangawizi.Tangawizi ni moja ya chakula kinachokurejeshea uwezo wako kiume kwa kukuongezea nguvu za kiume.Namna:Shortly twanga tangawizi na ichemshe na unywe kama chai asubuhi,mchana na jioni.Vilevile unaweza kutumia tangawizi katika mchanyiko kiasili kwa kutumia unga wa habat soda,asali,kitunguu saumu na tangawizi yenyewe.Twanga kwa pamoja kitunguu saumu na tangawizi kisha changanya na asali pamoja na unga wa habat soda(stir them together to mix throughout).kunywa mchanyiko hut kwa kutumia kijiko cha chai kutwa mara tatu kwa muda wa wiki moja,utaona mabadili
 
Kipimo ujaonyesha,unga wa habat soda kiasi gani kwa kitunguu swaumu vingapi?
 
Yaani mkuu umeandika harakaharaka kama vile ulikuwa unaibia kwenye mtihani halafu jamaa kavunika mtihani kabla haujamaliza kuibia.
Akifunua tumalizie basi.
 
Habari wana jf,ngoja leo niwape dawa itakayodumisha ndoa yako na hiyo si nyingine bali ni tangawizi.Tangawizi ni moja ya chakula kinachokurejeshea uwezo wako kiume kwa kukuongezea nguvu za kiume.Namna:Shortly twanga tangawizi na ichemshe na unywe kama chai asubuhi,mchana na jioni.Vilevile unaweza kutumia tangawizi katika mchanyiko kiasili kwa kutumia unga wa habat soda,asali,kitunguu saumu na tangawizi yenyewe.Twanga kwa pamoja kitunguu saumu na tangawizi kisha changanya na asali pamoja na unga wa habat soda(stir them together to mix throughout).kunywa mchanyiko hut kwa kutumia kijiko cha chai kutwa mara tatu kwa muda wa wiki moja,utaona mabadili

Mkuu embu funguka vizuri upande wa vipimo maana wengine tunawajibika kutwa mara tatu!
 
Funguka! Ndo agizo! Una papara baada ya kufanikiwa?! Unaishije, unatakiwa ule chakula gani? Compozisheni ni mhm pia. We vp?
 
Maskini sisi wagonjwa, tutakula kila kitu, matokeo yake hata tester zetu hazitatambua tena aina ya dawa. Kila siku watu wanakuja na dawa zao na wanataka sisi ndo tujaribu...Mhh jamani tufanye mazoezi tu na kuchagua vyakula vya kula.
 
Habari wana jf,ngoja leo niwape dawa itakayodumisha ndoa yako na hiyo si nyingine bali ni tangawizi.Tangawizi ni moja ya chakula kinachokurejeshea uwezo wako kiume kwa kukuongezea nguvu za kiume.Namna:Shortly twanga tangawizi na ichemshe na unywe kama chai asubuhi,mchana na jioni.Vilevile unaweza kutumia tangawizi katika mchanyiko kiasili kwa kutumia unga wa habat soda,asali,kitunguu saumu na tangawizi yenyewe.Twanga kwa pamoja kitunguu saumu na tangawizi kisha changanya na asali pamoja na unga wa habat soda(stir them together to mix throughout).kunywa mchanyiko hut kwa kutumia kijiko cha chai kutwa mara tatu kwa muda wa wiki moja,utaona mabadili
Ratio zake vp????
 
haya tuesikia
 
Duuu hili tatzo lawasumbua wengi eeee?? Jaman mtoa mada wasaidie wenzio na ratio??? Mweee
 
umefanya utafiti na una matokeo yanayoonyesha dawa yako ina ongeza nguvu za kiume na inafaa kwa matumizi ya binadamu?
 
May be hii dawa ukiitumia usiache pia kuandaa mazingira ya uwezrshaji wa mechi. kiwanja, kauli za wachezaji hasa wa KE, chakula, muda wa mapumziko. natumai uchaguzi wa patner atakayetoa ushirikiano ni priority ya kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom