Hili tushalijadili hapa kabla halijaandikwa Mwananchi.
Katika miaka mitano hiyo hizo strains zote za UKIMWI zitakaa tu zinawasubiri nyie na hiyo dawa yenu?
What you do not understand here is that these microbes are not static, they are ever evolving.
Washagundua kuna mbu huko Thailand anaeneza strain ya Malaria ambayo hai respond kwa madawa makali kabisa tuliyo nayo ya Mlaria.
UKIMWI au hata HIV si kitu kimoja kilicho static useme umeshakipatia tiba.
Ni virusi tofauti vinavyo evolve bila kutabirika.
So at best this is a cat and mouse game.
Sorry to burst your bubble.
Halafu usiamini hayo magazeti ya kibongo vichwa vya habari vikuubwa wanataka kuuza copies tu, fuata relaible sources uone challenges halisi zilizopo.