Poleni mkuu. Uvimbe wa tezi dume unatibiwa na mmea unaitwa voacanga Africana au mbwewe kiswahili. Pia kula mbegu 2 za tunda hili ni kinga ya tezi dume kama mwanaume umefika miaka 40. Kama uko mbali na SUA au MUHAS, tuwasiliane kwa 0713 039 875. Dozi tuloandaa ya mwezi mmoja tzs 120,000Msaada kwenye tuta wanajamvi
Anaefahamu dawa ya uhakika ya kutibu Tezi dume kwa wazee anijulishe tafadhali
Whether iwe best hospital au miti shamba ushauri wowote mzuri napokea
Asanteni kwa ushirikiano
Hakuna kisababishi cha moja kwa moja.Hivi Tezi dume inasababishwa na nini?
Mkuu si ungeshea hapa Hiyo dawa uokoe jahazi.Habari.. vipi mgonjwa alishafanyiwa operesheni kabla? Kama hapana, basi Iko tiba ya dawa kienyeji.. mshua wangu imemponya, ilimchapa alikua analia kama mtoto mdogo, na babu yangu pia aliandikiwa operesheni kwenda Benjamin Mkapa Dodoma..nikawaambia please wait, akapata hiyo dawa na sasa yupo shwari, imagine babu ana 98Yrs now.
Nimekuja speed kumwelekeza aende msoga😃Mtagi kikwete mzee wa msoga, alipita huko
Msaada kwenye tuta wanajamvi
Anaefahamu dawa ya uhakika ya kutibu Tezi dume kwa wazee anijulishe tafadhali
Whether iwe best hospital au miti shamba ushauri wowote mzuri napokea
Asanteni kwa ushirikiano
Hakika Ni Mbaya Mitambo Inakwama Network Ina FallHuu ugonjwa ni mbaya sana, Mungu atuepushie mbali
Upo serious au unataniaMsaada kwenye tuta wanajamvi
Anaefahamu dawa ya uhakika ya kutibu Tezi dume kwa wazee anijulishe tafadhali
Whether iwe best hospital au miti shamba ushauri wowote mzuri napokea
Asanteni kwa ushirikiano
Umeanza, unatafuta wakueleze kuwa mtu anayetumia hukooooooHivi Tezi dume inasababishwa na nini?