Hii ni nzuri sana,except its initial cost ni kubwa sana especially ukitaka kutumia vifaa vikubwa vya umeme kama music systems, tv kubwa zaidi ya nchi 14, na mengineyo mengi, it requires you to dig deep into your pocket! Utasikia suppliers wanakuuliza vipi, kwani uko mbali sana na umeme coz ukitaka solar pannels zenye uwezo wa ku-cover that magnitude ni taabu sana kwani pesa yake ni ndefu! Hivyo hii nayo bado ni huddle nyingine kwa mwananchi kujikwamua kutoka kwenye umaskini.