ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,139
- 17,612
Hao tunaowatangulizia pesa sio wa kujenga mahusiano mkuu, labda itokee bahati mbaya.Naelewa. Hela ni muhimu kwenye mahusiano lakini usiitangulize - isiwe kama ndio nguzo ya mapenzi ndugu. Lakini pia usifanye mahusiano bila kuwa na pesa kwa sababu itakutesa pia!!
Nimeishia hapa kusoma.Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Sio kwamba mwanamke kama kama anakuelewa approach sio ishu kubwa mkuu?Yeah' this are words now.!! though wanaume wanapaswa warekebishe sana approach zao maana naamini asilimia kubwa ndo zinawafelisha, sometimes ladies ain't that complicated!!
Katibu mwenezi, hata kama mrembo anakuelewa ni lazima uonyeshe u-gentleman wako ili kuchukua zile point 3 muhimu..!!Sio kwamba mwanamke kama kama anakuelewa approach sio ishu kubwa mkuu?
Katika mambo nayoogopa Duniani ni kutongoza mwanamke asiyenipenda....Katibu mwenezi, hata kama mrembo anakuelewa ni lazima uonyeshe u-gentleman wako ili kuchukua zile point 3 muhimu..!!
Utajuaje kama hakupendi ama anakupenda mkuu, before approaching..Katika mambo nayoogopa Duniani ni kutongoza mwanamke asiyenipenda....
Moyo mashine.... ila majibu ya upendo...Utajuaje kama hakupendi ama anakupenda mkuu, before approaching..
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana na muda wote huja tofauti na mategemeo yetu.!!Moyo mashine.... ila majibu ya upendo...
Maneno ni sehemu ndogo ya upendo bhana.
Ni kweli ila.. kunq muda unajua hapa naeleweka hapa sieleweki.Mapenzi ni kitu cha ajabu sana na muda wote huja tofauti na mategemeo yetu.!!
Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo
Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu
Mimi hapana.Ila mtu akikuambia namba yako amezawadiwa na Voda kwasababu anatumia huduma zao kwa muda mrefu utamuelewa na kumpa chumba?