Chacha Steven Mokiri
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 2,011
- 2,232
Am taking notes. Tupe nondo, sweetie.Yeah' this are words now.!! though wanaume wanapaswa warekebishe sana approach zao maana naamini asilimia kubwa ndo zinawafelisha, sometimes ladies ain't that complicated!!
RRONDO Hebu jaribu kwangu tuone kama itafanya kazi😉😉Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo
Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu
Laki mbili pesa.😆😆😆kweli watu wamevurugwaKakaka unaongele laki mbili za noti ama shilingishilingi
Akili yako iko Kwa wanawake woteKwa mwanamke anaejitambua atakujua tu kwamba unataka kumtapeli, na atakurudishia pesa yako yote.
Huyo utakaempata kwa hiyo njia hata ungempigia ukamwambia umekosea namba, ataingia mtegoni tu hata bila kujifanya umekosea namba ukamtumia elfu moja.
Ni kweli wanawake wanapenda watu wastaarabu na waungwana lakini hawapendi kufanywa mazuzu na kunyeshwa ustasrabu feki.
Akili yako iko Kwa wanawake wote
Mwanamke na pesa ni kama paka na samaki. Ila wala sikushangai leo wengi mtasema pesa sio issue ila ukweli uko waziUsitu generalize. Unatakiwa uspecify hii njia wana tumia akina nani na kina nani hawapaswi kutumia maana kuna hatari ya watu kujaza pipa la Lita 150 machozi. Tunaona sana wana wanatuma nauli na hawaonekani ni gentlemen inakuwa imetoka; Leo u risk 200k, Hapana!
Mimi nakumbuka kuna broad aliwahi kuniuliza nimetoa wapi namba yake, and I said, "Vodacom wamenipa kama zawadi kwa sababu natumia sana huduma zao". She laughed na kilichofuata ni history.!
Muda mwingine sio hela. Hela inamfanya acheke/afurahi. If you can make her happy, your chances of getting her are alive than the number of people who have died.
Mind you: Ukianzisha mahusiano kwa hela bai basi pattern isibadilike. Ikibadilika tu, You lose her.
Bandiko hili ni uthibitisho tosha kwamba zinaa huleta umaskini.Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo
Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu
Namba yangu unayo ila mbona hukosei ndugu yangu?Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo
Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu
Domo zege huyo, mizunguko yote hiyo anakwepa swali dogo tu[emoji23][emoji23]
Matumizi mabaya ya pesa.