Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Njia yangu ni moja tu nasema tuliwai kutana kwenye daladala miezi kama 2 ivi tukabadilishana namba trust me awezi kumbuka zaidi ya kujaribu tafuta kama ni kweli apo na nimefanikiwa kwa asilimia 97%
 
Hii hapa mwaya CONTROLA..!! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kuna jamaa alidondosha simu mbele yangu akiwa anakimbia maeneo ninapoishi. Nikaiokota ile simu nikaifungua nikijaribu kutafuta contact ya karibu nimjulishe anitafute nimrudishie simu yake.

Ile simu ilifungukia whatsapp, mojawapo ya chats ilikuwa na DP ya mtoto mmoja mkali sana, nikajikuta nimefungua kuangalia picha zake nyingine. I was immediately hooked.

Niliichukua namba ile, nikaisave kwenye simu yangu for future use. Sikutaka kuipaparikia na sikutaka kufanya makosa.

Nikaukumbuka uzi wa RRONDO huu. Siku moja nikacheki nikaona DP ya graduation ya chuo, nikachapa muamala wa hela ndogo tu, less than 50k. Nikauacha ukae.

Masaa kadhaa baadae, nikamtext na kujitambulisha na kumfahamisha kuwa nimekosea kutuma pesa kwake. Akaconfirm. Nikamwambia naona umegraduate, congrats. Naomba huo muamala uwe zawadi yako ya graduation, if you are comfortable with it.

The rest is history.
 

Wahuni sio watu wazuri.
 
Mke mwema kwanza anasifa hizi.
Hulka nzuri
Hana haraka yakujibu mtu ovyo
Anaheshima na ni anajitambua ni mwema.
Hana papara kwenye maamuzi basi hiyo ndio sifa zake.
Na hana tamaa na hela ambazo sio zake.
Hata kama anashida nazo ila kama unajitambua utamuhudumia ili afurahi..
 
Umesahau sifa moja..,
Mke mwema anatoka kwa Bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu endelea tutoe stress za Covid
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…