Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,750
Reaction score
129,471
Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-

Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ila katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo

Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili, sifa hizi zinawavutia sana dada zetu
 
upoteze 100k, pia unaingia risk ya kupoteza 200k yote sababu anaweza kuihamisha muda huo huo, kwa ajili ya kukwepa kuulizwa namba yangu umeitoa wapi? ok, tu assume umefanikiwa kama ulivyosema anaweza akakukataa na akakupiga block na tayari umepoteza 100k.
 
Hahahaa.!!
Hapa naamini unazungumza na wale ndugu zake Kiduku, maana huyo mtanzania wa huku duniani hizo laki mbili ambazo ndo mshahara wake anaanzaje kuzichezea hivyo mkuu??
200k mfano tu, inaweza kuwa hata 20k. Hapa unakuwa ushaonesha ustaarabu na wewe si mbahili na kwa dada zetu hivyo vitu viwili vina nguvu Sana kwao
 
200k mfano tu, inaweza kuwa hata 20k. Hapa unakuwa ushaonesha ustaarabu na wewe si mbahili na kwa dada zetu hivyo vitu viwili vina nguvu Sana kwao
Yeah' this are words now.!! though wanaume wanapaswa warekebishe sana approach zao maana naamini asilimia kubwa ndo zinawafelisha, sometimes ladies ain't that complicated!!
 
Back
Top Bottom