Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,712
- 8,769
😂😂😂😂pole sana huyo aende kwao tuuNitajieni dawa mujaribu ya kukomesha hii tabia ya huyu mwanamke alieanza kuninyima unyumba
Ni binti wa miaka ya 2000 namlisha mamvisha na kumhudumia kwa kila kitu
Hivi karibuni nimegundua kuna jamaa anachat nae sana hadi mwanamke kaanza kuwa na kiburi cha chini chini
Mbaya zaidi kaninyima unyumba mara 2 na zote nilimtimua chumbani akalale sebuleni
Nimfanyaje huyu mtu ili aache hii tabia ya kuninyima unyumba??
Dawa yake ni kumpiga chini utafute mwanamke mwingine mkuu. Huyo tayari umeishanyanganywa na mapedejee ya mjini.Nitajieni dawa mujaribu ya kukomesha hii tabia ya huyu mwanamke alieanza kuninyima unyumba
Ni binti wa miaka ya 2000 namlisha mamvisha na kumhudumia kwa kila kitu
Hivi karibuni nimegundua kuna jamaa anachat nae sana hadi mwanamke kaanza kuwa na kiburi cha chini chini
Mbaya zaidi kaninyima unyumba mara 2 na zote nilimtimua chumbani akalale sebuleni
Nimfanyaje huyu mtu ili aache hii tabia ya kuninyima unyumba??
Labda humkojoziNitajieni dawa mujaribu ya kukomesha hii tabia ya huyu mwanamke alieanza kuninyima unyumba
Ni binti wa miaka ya 2000 namlisha mamvisha na kumhudumia kwa kila kitu
Hivi karibuni nimegundua kuna jamaa anachat nae sana hadi mwanamke kaanza kuwa na kiburi cha chini chini
Mbaya zaidi kaninyima unyumba mara 2 na zote nilimtimua chumbani akalale sebuleni
Nimfanyaje huyu mtu ili aache hii tabia ya kuninyima unyumba??
KweliMaana ya mwanamke kukunyima mkiwa kwenye ndoa ni kwamba hisia juu yako hazipo,zimekata.Hisia zimehamia kwa huyo anayechati naye.Kuna uwezekano mkubwa huyo jamaa ameshamla.Chunguza ,chukua hatua.